Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
mwingine unaitwa natambolii pia moto oyokitu Napesi yoooooooooooooooo.
Yeahmwingine unaitwa natambolii pia moto oyo
Ahahahaha mhenga buanaWimbo mzuri sana ila mi sio mhenga mama yangu mdogo alikua anawapenda sana hawa makoma kipindi hicho mida ya jioni ITV lazima waupige
Hahahahkitu Napesi yoooooooooooooooo.
Bakongo banaishi ufaransaHivi ni wa nchi gani wale?
Money Penny njoo PM nikuulizageHahahah
Nakolela nakolela aaaaaaaaaaaaa
Hehe na wewe mhengaAlbàmu ya 2000 mwaka
DohFrom DRC Congo. Hao ni watoto wa familia 1.FAMILLE MAKOMA, Ila kwasasa walisha vunja Ilo kundi lao kutokana na majukum mbali mbali hasa majukum yakifamilia