Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,534
- 32,757
IDD amin yeye alikuwa hana shida na Tanzania,yeye shida yake ilikuwa Obote ambaye Nyerere alimpa hifadhi.Kwa hiyo unataka tuambia kichapo alichopewa Idd Amin ilikuwa ni maelekezo aliyopewa NYERERE na mabeberu wa Ulaya ama. Emu tueleze aseee
Lumumba aliuliwa na Mobutu?Mobotu alimuua mtangulizi wake Patrice Lumumba na huo ndiyo ubaya mkubwa kabisa alioufanya
Wanajeshi waliomuua walipokea maelekezo kutoka kwa mkuu wa majeshi Mobutu seseko kwa mujibu wa vitabu vya historia.Kabda wewe useme aliuliwa na nan?Lumumba aliuliwa na Mobutu?
Muongo mkubwa
Wanajeshi waliomuua walipokea maelekezo kutoka kwa mkuu wa majeshi Mobutu seseko kwa mujibu wa vitabu vya historia.Kabda wewe useme aliuliwa na nan?
Hizi stori huwa mnazitowa wapi??laiti kama isingekua mvi zake basi angemuoa
Hawa watu ni mazezeta kweli kweli, eti mabeberu wanmnchafua Mobutu wakati mebeberu hao hao ndio walikuwa wakimuunga mkonoMobotu alimuua mtangulizi wake Patrice Lumumba na huo ndiyo ubaya mkubwa kabisa alioufanya
Hii taarab ya mabeberu jiwe aliyowakaririsha hii misukule yake shida kweli, kila mtu mbaya anasafishwa kisa eti alisemwa vibaya na wazunguHao viazi wote uliowataja wamejichafua wenyewe kwa umwagaji damu, machafuko na uporaji mali katika nchi zao.
Hii listi nzima ni watu waovu sana waliowahi kuja na kutembea duniani
Umemaliza kazi!!Hii taarab ya mabeberu jiwe aliyowakaririsha hii misukule yake shida kweli, kila mtu mbaya anasafishwa kisa eti alisemwa vibaya na wazungu
Haya mambo ya kusifu viongozi wauaji yameshamiri sana soku hizi kwa kigezo kuwa wanachafuliwa na wazungu, hii ni moja ya legacy mbaya zaidi ya jiwe kwa wafuasi wakePamoja ns ushetani wote ule wa Mobutu, bado unaamini Mobutu alikuwa kiongozi mzuri. Mauaji ya wapinzani wake, tena wengine marafiki zake wa karibu (walipohoji tu uongozi wake), na utapanyaji wa ajabu wa pesa za nchi, bado unaamini alikuwa ni kiongozi mzyri!! Ama kweli Dunia haiishiwi vioja.
Lakini siyo ajabu, maana hakuna mwovu au uovu uliowahi kukosa uungwaji mkono.
Hata hapa kwetu, mpaka leo, wapo wanaosema kuwa upangwaji wa mauji dhidi ya Lisu ilikuwa ni sahihi kwa sababu ya kauli yake kuwa hatujawahi kuwa na Rais wa ajabu kama Magufuli, au kwa kusema kuwa ni lazima tuheshimu mikataba yetu na wawekezaji. Shetani ni utawala, na hakuna utawala uliowahi kukosa mashabiki.
Nimesikitika sana kwa ulivo nichukulia, mimi nimesoma sana na kutazama youtube interview za viongozi wengi, angalia threads zangu nilizoleta humu,baadhi ya Histolical accounts huwezi kuzipata sehemu yeyote mtandaoni kwa kiswahili isipokuwa mimi tu ndiye nimeandika humu JFHizi stori huwa mnazitowa wapi??
Subirini watu kama kina johnthebaptist waondoke ndiyo muanze kuzusha.
Hao wabeligiji na USA walimtumia Mobutu kumuua Lumumba.kama Mobutu angekataa kutii maelekezo ya wabelgiji na hao USA huenda kusingetokea hayo mauaji.
Wewe pamoja na uzee wako nilidhani utakuwa unaweza kuchambua pumba na mcheleMkuu kwisha , kiukweli kabisa, mabeberu ni watu wabaya sana!, angalia Iraq, kosa la Saadam ni utajiri wa mafuta!. Angalia Libya, kosa la Ghadafi ni kutaka kuwaunganisha wa Afrika tuunde USAf, japo US ndio the richest continent in terms of GDP, Africa ndio the richest continent in terms of resources na kuwa the poorest kwasababu wana plunders!. Ghadaf akashauri tuanzisha AfMF tuachane na IMF, tuanzishe AfB tuachane na WB, aliisha pandisha satelite tuachane na ITU, jamaa wakaamua he had to go!.
Hata hapa kwetu JPM alipowabana kulinda resilimali zetu kwa kubadili sheria ya madini, niliuliza humu, tutaweza kumlinda JPM? Zita Act Retroactively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts?
Baadaye nikauliza US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?
Where is he now?!.
Zaidi ya kutangaziwa ile siku, when the game was over long before, is anyone knows what really happened?.
P
Rais wa Marekani ndiye alitoa amri Lumumba auwawe kupitia CIA ,hii ni kwa mujibu wa Mkuu wa CIA Congo wakati huo miaka ya 60Hao wabeligiji na USA walimtumia Mobutu kumuua Lumumba.kama Mobutu angekataa kutii maelekezo ya wabelgiji na hao USA huenda kusingetokea hayo mauaji.
Wewe pamoja na uzee wako nilidhani utakuwa unaweza kuchambua pumba na mchele
Mobutu si ndio alikuwa kibaraka wa mabeberu? Pamoja na ufujaji mwingi wa mali na mauaji
Mobutu si ndio alikuwa akiwapa hifadhi waasi wa Kihutu waliokuwa waliivamia Rwanda kila mara hadi Kagame akaivamia Zaire na kuleta crisis kubwa ya kibinadamu na kiuchumi?
Basi hata Nyerere alikuwa kibaraka wa mabeberu maana alikuwa haivani na hao viongozi mnaowasifu kuwa ni mashujaa, akina Idd Amini na Mobutu
WaTanzania wengi ni wavivu kusoma au kutazama videos ndio maana mpaka leo wanadhani Amin alikuwa na tatizo na Tz,IDD amin yeye alikuwa hana shida na Tanzania,yeye shida yake ilikuwa Obote ambaye Nyerere alimpa hifadhi.
Nyerere aliua uchumi na kusababisha vifo vya Watanzania wengi ili kumlinda rafiki yake Obote.Ni kama anavyofanya UE na Zelensiky-Putin alikuwa hana shida na Ukraine yeye shida yake ni Serikali iliyopo kutofuata makubaliano.
Hata wewe ungekuwa Idd Amini unapoona adui wako yupo mlangoni kwako utakaa vipi kwa amani.
Tusaidie tuyajue hayo mazungumzo tafadhaliHuyo jamaa alichukua nchi ikiwa kwenye vita, hakukuwa hata na wasomi 10 wa chuo kikuu,
Juzi mke wake kasimulia kifo chake, ma dokta walimwambia hutoboi ,unakufa ,maneno yake ya mwisho kuongea ni "pardon" akimuomba msamaha mkewe
Natamani ungeendelea kuandika!!!! DahMkuu kwisha , kiukweli kabisa, mabeberu ni watu wabaya sana!, angalia Iraq, kosa la Saadam ni utajiri wa mafuta!. Angalia Libya, kosa la Ghadafi ni kutaka kuwaunganisha wa Afrika tuunde USAf, japo US ndio the richest continent in terms of GDP, Africa ndio the richest continent in terms of resources na kuwa the poorest kwasababu wana plunders!. Ghadaf akashauri tuanzisha AfMF tuachane na IMF, tuanzishe AfB tuachane na WB, aliisha pandisha satelite tuachane na ITU, jamaa wakaamua he had to go!.
Hata hapa kwetu JPM alipowabana kulinda resilimali zetu kwa kubadili sheria ya madini, niliuliza humu, tutaweza kumlinda JPM? Zita Act Retroactively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts?
Baadaye nikauliza US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?
Where is he now?!.
Zaidi ya kutangaziwa ile siku, when the game was over long before, is anyone knows what really happened?.
P