kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,126
Daah deni bayaMimi binafsi ni mhanga mara kadhaa kutokana nakuwa na huruma sana na kuamini rafiki kirahisi.
Mwisho wa siku inakula kwangu.View attachment 1008769
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha nimecheka kama mazuri.Daah deni baya
Kuna jamaa nilimkopesha hela sasa akawa ananipiga chenga.
Kuna day nilikutana nae anavuka barabara yupo kati kati hapo sasa hajui avuke au urudi na gari zinakuja nilimuonea huruma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haswa mademu wa kibongo ndo zao akikopeshwa anajifanya kasahau anabaki kujichekeshachekesha tu,dawa ni kusema huna pesa.Principle ya kukopesha usimpe mtu kiasi halisi anachokitaka i.e akitaka 100,000 mwambie una 30,000 kwenye simu kama itasaidia umpe au kama akitaka 30,000 mwambie una 10,000 kama anataka umpe hio hio..huyo mtu hatorudi tena kukuomba hela au ukiona vipi unasema sina hela hata kama unazo..lia na wewe hali ngumu huna hela
Kulipa Madeni ni Kipaji.
Tena kipaji chenyewe wamejaaliwa wachache.Kulipa Madeni ni Kipaji.
Haha nimecheka kama mazuri.
Yani siku hizi ukimkopesha rafiki, jua kuna possibility kubwa 2
1. Kupoteza pesa
2. Kupoteza urafiki
Btw nawasubiri mwenzangu na mimi tunaokopa afu hatutaki kulipa
Mie nilishaacha kabisa kukopesha marafiki, kama sina ya kukupa jumla, basi ya kukopa ndo haipo kabisaa. Siwezi tena kuendelea kukosa marafiki kisa deni, nilio nao nawapenda sana, siwezi kuhimili.kuwakosa, teh!Haha nimecheka kama mazuri.
Yani siku hizi ukimkopesha rafiki, jua kuna possibility kubwa 2
1. Kupoteza pesa
2. Kupoteza urafiki
Btw nawasubiri mwenzangu na mimi tunaokopa afu hatutaki kulipa
.Daah deni baya