Wangapi mnakumbuka kisa cha Kalume kenge?!

Wangapi mnakumbuka kisa cha Kalume kenge?!

Hussein Massanza

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
1,016
Reaction score
2,195
Leo nimetembelewa na rafiki yangu kipenzi Zurie, amenikumbusha kisa kitamu sana cha Karume Kenge. Ni wangapi mlikisoma hiki?

Tukumbushane mafunzo yake humu.

Kake.JPG

kk.JPG

kkk.JPG
 
Huyu mwandishi naye alitulisha tango pori. Mbuzi kachinjwa atakunywaje maji??

mimi nilidhani mbuzi alipo chinjwa maji na fimba yalitumika kuoshea na kupikia na kuni
 
interesting, inakumbusha mbali mimi nimekikumbuka kisa cha buibui na.............?
 
Huyu mwandishi naye alitulisha tango pori. Mbuzi kachinjwa atakunywaje maji??
mimi nilidhani mbuzi alipo chinjwa maji na fimba yalitumika kuoshea na kupikia na kuni
Mwandishi katumia lugha ya mafumbo sana.
 
Mwandishi katumia lugha ya mafumbo sana.
kwa utawala huu mtakumbuka mpaka kisa cha yohana mjinga, mie nasubiri maana kisa cha robinson kruso kina fumbo la maendeleo
 
Back
Top Bottom