Ni mwanaume au wa kike ?Mi nimemkamulia matusi hadi akakata simu eti anatuma sms rahisi ile pesa tuma kwenye namba hii simu yangu inasumbua mpesa namuuliza pesa ipi anauma maneno kala matusi ya haja hajarudia tena
Nasikitika kuwa matapeli wengimwameamua kuutumia mtandao wa halotel zilivyo.Mwenyewe nimekutana nayo hio sms na nikajarbu kumpigia ila hakupokea cm , na no aloitumia ilikua ya halotel