Wangapi Mmefika HAPA

Hii thread hii ... lazima kuna watu watai-chakachua maana ya picha & eneo! ....
 
inataka moyo kufika hapo.mlima knjaro
 
Sipati picha na hayo mavazi yao hapo kwenye peak
 
sijafika ila natamani sana ni dream
 
Mi nimeshafika hapo mara nyingi tu,hata jana nilifika pia.Raha kufika hapoooo!:shut-mouth:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…