Wangapi huwa mnaambiwa hivi?

Light Saber Imetosha Sasa

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2017
Posts
5,182
Reaction score
9,586
Kwenye archives zangu nimekutana na hii kitu,,,, ni kitambo miaka ya kitabu nlikuwa nazinywa lager kweli kweli ila ndo tushaachana

I miss you Mumu

 
Ukimuona mwambie abbreviations doesn't minimize her airtime, next time awe anachat kama kiumbe anayetumia topaz kila baada ya siku kadhaa.

"Kzn" means? Kazini or kuzini?
 
Ukimuona mwambie abbreviations doesn't minimize her airtime, next time awe anachat kama kiumbe anayetumia topaz kila baada ya siku kadhaa.

"Kzn" means? Kazini or kuzini?
nilizungumza sana kuhusu hilo swala...ila ndo hivyo lilikuwa limemlevya.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…