Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,549
Inategemea na gari lako.kama gari lako likiishiwa mafuta, utachepuka. Wengine magari yao yako full tank. Mwanzo hadi mwisho wa safariHiv ulishawah kuona Petrol station katikati ya barabara lazma ikae pemben ili uchepuke kidogo uendlee na safar.
Labda kama full tank yako inatoka ubungo unaishia mbez ila kama safar ndefu ahaa kuingia petrol station muhimuInategemea na gari lako.kama gari lako likiishiwa mafuta, utachepuka. Wengine magari yao yako full tank. Mwanzo hadi mwisho wa safari
Hongera. Ndo inavyotakiwaUko vizuri sana na ata mi uwa naheshimu sana mahusiano pindi nikiwa na mtu uwa sitaki kurukaruka ovyo
InategemeaLabda kama full tank yako inatoka ubungo unaishia mbez ila kama safar ndefu ahaa kuingia petrol station muhimu
kwahyo umeona umuhimu wa kuchepuka sasa turud kutokana na sababu hzo utakuja kuchepuka si etInategemea
Msema ukweli mpenzi wa MUNGU. Nilishawahi kuwa kwenye mahisiano na mwanaume mmoja na ndo alie kuwa mwanaume wangu wa Kwanza na baadae niliachana nae.
Sijawahi kuchepuka,baada ya yeye kuwa na tabia za kuchepuka nikaachana nae...na sitakuwa mchepukaji hata nikiingia tena kwenye mapenzi katu.. Kuchepuka ni kipaji.. Je wewe unaweza kuwa na mwanaume/mwanamke mmoja bila kuchepuka... ???
Kumbuka unaposema uongo.MUNGU anakuona
Ndo maana nikakwambia Inategemea. Kama ni gari litachepuka. Kwani Mimi sio gari na sihitaji kuongezewa mafuta. Mimi ni ninadamu kwa hiyo sioni umuhimu wa kichepuka.. Kungekuwa ya kwamba usipochepuka utakufa. Hapo sawa ingekuwa na umuhimukwahyo umeona umuhimu wa kuchepuka sasa turud kutokana na sababu hzo utakuja kuchepuka si et
Ya kweli hayo Mkuu mana wanaume ndio mnaoongoza kwa kutamani tamani hivyo.Uko vizuri sana na ata mi uwa naheshimu sana mahusiano pindi nikiwa na mtu uwa sitaki kurukaruka ovyo
27How old are you?
Mungu akubariki...Nilichepukaga enzi za u-boyfriend na u-girlfriend.
Lakini toka nimeingia kwenye ndoa,ni muongo mmoja sasa,sijachepuka na wala sina mawazo hayo. Namuomba Mungu aninusuru na mawazo hayo ya kishetani. Na aliyenioa si katika hao maboyfriend.
sawa time will tellNdo maana nikakwambia Inategemea. Kama ni gari litachepuka. Kwani Mimi sio gari na sihitaji kuongezewa mafuta. Mimi ni ninadamu kwa hiyo sioni umuhimu wa kichepuka.. Kungekuwa ya kwamba usipochepuka utakufa. Hapo sawa ingekuwa na umuhimu
Umeshakuwa kwenye ndoa au mahusiano ya muda mrefu?
Amen,atubariki sote.Mungu akubariki...
Sipo kwenye ndoa. Na nilikuwa kwenye mahisiano ya Kama ya mda wa miaka 3.Umeshakuwa kwenye ndoa au mahusiano ya muda mrefu?