wanawake

yaani hawa wanawake hawa, mimi huwa hata siwaelewi. ila come to think of it; in some ways wanawasaidia wanaume wachakarike na wasibweteke tu kwa kupozwa na ngono as the only readily available starehe.
 
mpaka mwaka utakapojifunza kuheshimu mwanamke ndo utapata mwanamke wa kukuheshimu!
 
Heee mabig haya .....kwahyo ndo unahc unawakomesha kwa kupga kila uktoka kazin?af wat do u gain apart frm kale kautamu ka sekunde af miaka ming?ivi unajisikia unavyoongea lakn?
 
Chezeya wanawake wa mujini wewe..!
 

Usiwe na hasira, hv unajua kwa nini wanawake wa siku hizi wanapenda mtu ambaye ameshajijenga kimaisha? Yaani mwenye gari, nyumba na maaset kibao? Wanaume ndio chanzo. Dada wa watu anaweza akakuvumilia kwa ulofa ulio nao na akaweka juhudi kwenye kukuza kipato cha familia mwisho wa siku anajikuta hana chake, ameachwa anatafutwa mwingine ambaye anakuja kula kiulaini. Ndio maana wanawake/wadada wengi wa mjini wameona ni ujinga kuwa na mtu lofa alafu akifanikiwa uko naye hakumbuki mlikotoka, hivyo shortcut ni kutafuta mwenye nacho. Hivyo usiwalaumu sana, mabadiliko yaanzie kwako.
 
yani huna gari nikutake wa nini
cha kupigwa na jua lol!!
tunataka wenye magari tena
yenye viyoyozi hureeee,kama huna piga kimya!!
 
Heee mabig haya .....kwahyo ndo unahc unawakomesha kwa kupga kila uktoka kazin?af wat do u gain apart frm kale kautamu ka sekunde af miaka ming?ivi unajisikia unavyoongea lakn?

nitolee pumba zako hapa amini unavyoamini ndiyo sahihi usjishughurishe na hisia za mtu maana na yeye haamini za kwako anaziona ni za kijinga so sory kaa kimya.
 
yani huna gari nikutake wa nini
cha kupigwa na jua lol!!
tunataka wenye magari tena
yenye viyoyozi hureeee,kama huna piga kimya!!

haya ndo yanawaponza kama ni jambazi sku kikinuka uwe tayari kwenda nae jera,gari gari wakati kwenu ukoo mzma hakuna mwenye gari na nahsi una lisura libaya unapga mayowe hapa kwenda zako kizee wewe ukuoe nani labda utoe kabaang upate lift ya kwenda mwenge ukachague mitumba ya 500 utasubiri sana wenye magari b.oya wewe,na ndo maana wanawa.f.i.la sana sku hzi si unataka gari lete kabaaang hata bei ya mafuta huijui wewe ku.b.w.a jin.ga
 
Wapo bado wanawake bora wengi tu pengine hujakutana nao. Sasa niulize, nasikia siku hizi wanaume hawapendi kabisa uzee hadi imeandikwa uzee mwisho chalinze mjini wote baby je unaichukuliaje hii nayo, je ni wanaume wote wako hivyo auuuuuuu??????????????????
 

Mwambie huyo anadhania kila mwanamke ni tegemezi..watu wana make money zao..elimu za kutosha.....ukiona hivyo ht bodaboda hawezi afford mpk amake 10 years...
 
mkuu hapo kwenye matawi hapo umeniacha hoi...mei mosi njema
 
Mwambie huyo anadhania kila mwanamke ni tegemezi..watu wana make money zao..elimu za kutosha.....ukiona hivyo ht bodaboda hawezi afford mpk amake 10 years...

maskini utawajua tu
hata ubongo wao ni wa
kimaskini!!njoo nikuazime ndinga yangu hahahaaaa!!
poleni sana!!
 

bora umwambie
maana hawa wageni wanaovamia
nawdays hawasomeki!!
 
Usitutolee povu ukafia hapa jamvini. Nani kakulazimisha. Hela yako ya mawazo kula na nduguzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…