Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Mar 9, 2012 #21 Hilo la wanawake hawapendani lina ukweli sana inabidi kutafuta namna ya kusolve hilo tatizo. Ahsante queen.
Hilo la wanawake hawapendani lina ukweli sana inabidi kutafuta namna ya kusolve hilo tatizo. Ahsante queen.
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,111 Reaction score 136,816 Mar 9, 2012 #22 Husninyo said: Hilo la wanawake hawapendani lina ukweli sana inabidi kutafuta namna ya kusolve hilo tatizo. Ahsante queen. Click to expand... Wewe humpendi nani?
Husninyo said: Hilo la wanawake hawapendani lina ukweli sana inabidi kutafuta namna ya kusolve hilo tatizo. Ahsante queen. Click to expand... Wewe humpendi nani?
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Mar 9, 2012 #23 Nyani Ngabu said: Wewe humpendi nani? Click to expand... mi nawapenda wote. Wasionipenda pia nawapenda.
Nyani Ngabu said: Wewe humpendi nani? Click to expand... mi nawapenda wote. Wasionipenda pia nawapenda.
Gaijin JF-Expert Member Joined Aug 21, 2007 Posts 11,812 Reaction score 5,303 Mar 9, 2012 #24 Nyani Ngabu said: Hili mbona limekaa kaa dongo kwa mtu? Ukimwagiwa tindikali usije kulia kwangu.... Click to expand... hahaha Ngabu bana :laugh:
Nyani Ngabu said: Hili mbona limekaa kaa dongo kwa mtu? Ukimwagiwa tindikali usije kulia kwangu.... Click to expand... hahaha Ngabu bana :laugh:
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,111 Reaction score 136,816 Mar 9, 2012 #25 Gaijin said: hahaha Ngabu bana :laugh: Click to expand... Khabari yako Mjapenga?
Gaijin JF-Expert Member Joined Aug 21, 2007 Posts 11,812 Reaction score 5,303 Mar 9, 2012 #26 Nyani Ngabu said: Khabari yako Mjapenga? Click to expand... Nzuri sana. Keyf?
Neiwa JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 728 Reaction score 634 Mar 9, 2012 #27 Husninyo said: Hilo la wanawake hawapendani lina ukweli sana inabidi kutafuta namna ya kusolve hilo tatizo. Ahsante queen. Click to expand... Hivi linaanzishwa na nini hasa?
Husninyo said: Hilo la wanawake hawapendani lina ukweli sana inabidi kutafuta namna ya kusolve hilo tatizo. Ahsante queen. Click to expand... Hivi linaanzishwa na nini hasa?
Gaijin JF-Expert Member Joined Aug 21, 2007 Posts 11,812 Reaction score 5,303 Mar 9, 2012 #28 Husninyo said: Hilo la wanawake hawapendani lina ukweli sana inabidi kutafuta namna ya kusolve hilo tatizo. Click to expand... Hebu fafanua hapa....ukweli kama upi?
Husninyo said: Hilo la wanawake hawapendani lina ukweli sana inabidi kutafuta namna ya kusolve hilo tatizo. Click to expand... Hebu fafanua hapa....ukweli kama upi?
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,111 Reaction score 136,816 Mar 9, 2012 #29 Gaijin said: Hebu fafanua hapa....ukweli kama upi? Click to expand... Manake ni kwamba mbwa ukimjua jina wala hakupi shida.
Gaijin said: Hebu fafanua hapa....ukweli kama upi? Click to expand... Manake ni kwamba mbwa ukimjua jina wala hakupi shida.
Gaijin JF-Expert Member Joined Aug 21, 2007 Posts 11,812 Reaction score 5,303 Mar 9, 2012 #30 Nyani Ngabu said: Manake ni kwamba mbwa ukimjua jina wala hakupi shida. Click to expand... huyu mbwa jina lake mwanamke au?
Nyani Ngabu said: Manake ni kwamba mbwa ukimjua jina wala hakupi shida. Click to expand... huyu mbwa jina lake mwanamke au?
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Mar 9, 2012 #31 Neiwa said: Hivi linaanzishwa na nini hasa? Click to expand... nafikiri ni ubinafsi/umimi.
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,111 Reaction score 136,816 Mar 9, 2012 #32 Gaijin said: huyu mbwa jina lake mwanamke au? Click to expand... Hahahaaa hapana bana.
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,499 Mar 9, 2012 #33 Husninyo said: mi nawapenda wote. Wasionipenda pia nawapenda. Click to expand... Mbona mi nakutaka unakataa?
Husninyo said: mi nawapenda wote. Wasionipenda pia nawapenda. Click to expand... Mbona mi nakutaka unakataa?
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Mar 9, 2012 #34 Gaijin said: Hebu fafanua hapa....ukweli kama upi? Click to expand... unaweza kugundua hilo unapohitaji huduma na mtoa huduma ni mwanamke.
Gaijin said: Hebu fafanua hapa....ukweli kama upi? Click to expand... unaweza kugundua hilo unapohitaji huduma na mtoa huduma ni mwanamke.
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,111 Reaction score 136,816 Mar 9, 2012 #35 Husninyo said: unaweza kugundua hilo unapohitaji huduma na mtoa huduma ni mwanamke. Click to expand... Huduma gani Mwajuma?
Husninyo said: unaweza kugundua hilo unapohitaji huduma na mtoa huduma ni mwanamke. Click to expand... Huduma gani Mwajuma?
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Mar 9, 2012 #36 Fidel80 said: Mbona mi nakutaka unakataa? Click to expand... hapa hatuongelei kutakana wewe. Kwani hata kama nakupenda lazima nikukubali? Kwa mwendo huo nitakubali wangapi?
Fidel80 said: Mbona mi nakutaka unakataa? Click to expand... hapa hatuongelei kutakana wewe. Kwani hata kama nakupenda lazima nikukubali? Kwa mwendo huo nitakubali wangapi?
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Mar 9, 2012 #37 Nyani Ngabu said: Huduma gani Mwajuma? Click to expand... simu, vyakula kwenye restaurants, banks, etc.
Nyani Ngabu said: Huduma gani Mwajuma? Click to expand... simu, vyakula kwenye restaurants, banks, etc.
Gaijin JF-Expert Member Joined Aug 21, 2007 Posts 11,812 Reaction score 5,303 Mar 9, 2012 #38 Husninyo said: unaweza kugundua hilo unapohitaji huduma na mtoa huduma ni mwanamke. Click to expand... Mie kukiwa na mhudumu mwanamme na mwanamke, I always chose the female one. Najiona naweza ku connect nae zaidi
Husninyo said: unaweza kugundua hilo unapohitaji huduma na mtoa huduma ni mwanamke. Click to expand... Mie kukiwa na mhudumu mwanamme na mwanamke, I always chose the female one. Najiona naweza ku connect nae zaidi
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,111 Reaction score 136,816 Mar 9, 2012 #39 Husninyo said: simu, vyakula kwenye restaurants, banks, etc. Click to expand... Wee umewahi kula kwenye restaurant?
Husninyo said: simu, vyakula kwenye restaurants, banks, etc. Click to expand... Wee umewahi kula kwenye restaurant?
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Mar 9, 2012 #40 Gaijin said: Mie kukiwa na mhudumu mwanamme na mwanamke, I always chose the female one. Najiona naweza ku connect nae zaidi Click to expand... inategemea gaijin.huku dodoma kuna restaurant flani inaitwa annex, wahudumu wanawake hawahudumii wanawake wenzao. Ukiwaita wanakwambia "njo wewe". Akiingia kidume sasa...(ngoja niishie hapa)
Gaijin said: Mie kukiwa na mhudumu mwanamme na mwanamke, I always chose the female one. Najiona naweza ku connect nae zaidi Click to expand... inategemea gaijin.huku dodoma kuna restaurant flani inaitwa annex, wahudumu wanawake hawahudumii wanawake wenzao. Ukiwaita wanakwambia "njo wewe". Akiingia kidume sasa...(ngoja niishie hapa)