Wanawake zetu mna nini na ma-cousins?

Wanawake zetu mna nini na ma-cousins?

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,651
Reaction score
4,758
Sijui kama mlishawahi shuhudia upendo walionao visista duu kwa hao wanaowaita macousins...a.k.a Cuzooo...

Yaani upendo alionao kwa cuzo wake...unajiuliza mbona hata kaka yake au dada yake wa kuzaliwa haupo hivyo..?

Ila ndio maana uislam umemtoa BINAMU(COUSIN) katika kundi la ndugu ambao haupaswi kuoa au kuolewa...YAANI MAANA YAKE COUSIN ANAWEZA AKAOA COUSIN MWENZAKE...

Share your experience ulipokuta mke wako anampenda sanaaa...CUZZOOO...
 
ma cuzooo mi manzi wangu nusu aliwe na cuzo wake ilikua ponea yake maana nilimkanya mapema ila mi nilishawah mega binam yangu kitambo mno ila kaja kujua miaka mitatu ishapita saivi tupo nusu kuachana
 
Kweli...wanajkuta uzungu mwingi mwingi...
Ukisikia anakwambia ooo huyu ni cousin wangu, we jiongeze tu. Na wanaosema cousin sijui madudu gani unakuta anauzungu uzungu mwingi..
 
Mimi Kuna huyo cousin wangu du.
Yaani unamwona anadalili zoooote za kukutaka.
Yaani anasifiaga mpaka aibu naona mimi kwa Kweli. Huwa namwepuka mnoo. Simwelewagi yaani..
Ukimwita kaka hapendi kabisa.
Ukimwamkia Ndo kabisa. Alishanikataxa nisimwamkie.
Ila anaboa. Nishapunguza mazoea nae mie
 
Sasa kumbe unajua kabisa anataka nn, uchoyo si mzuri.

Binamu ni kinyama cha hamu.
 
Siamini kama ni kweli ..
Binamu yangu mmoja tunapendana sana; lakini hata siku moja sikuwahi kumjua ... na tuliwahi kuishi chumba kimoja kwa zaidi ya miezi sita mbali na nyumbani.
 
Mimi Kuna huyo cousin wangu du.
Yaani unamwona anadalili zoooote za kukutaka.
Yaani anasifiaga mpaka aibu naona mimi kwa Kweli. Huwa namwepuka mnoo. Simwelewagi yaani..
Ukimwita kaka hapendi kabisa.
Ukimwamkia Ndo kabisa. Alishanikataxa nisimwamkie.
Ila anaboa. Nishapunguza mazoea nae mie
Hahahahah huyo halali...
 
Siamini kama ni kweli ..
Binamu yangu mmoja tunapendana sana; lakini hata siku moja sikuwahi kumjua ... na tuliwahi kuishi chumba kimoja kwa zaidi ya miezi sita mbali na nyumbani.
Huyo cousin upo mna jncia moja...
 
Back
Top Bottom