Licha ya kushindana Gold, Vimini, Suti, Khanga, simu na nywele siku hizi wanatinga na magari kuliko Wanaume na utawakuta wao ni Story tu tena hazihusiani na msiba
Oooh aliambiwa ale koni akakuta uvunguni uvumdo
yule mbona kawachukua wengi na kawaambukiza
mbona kazaa na fulani na wala mtoto si wake alishambambikia zamani
Since watu8 yuko busy kwasasa naomba nimsaidie though i am not sure this his difference...
Heaven on Earth me navyojua mwanamke mrembo ni yule ambae kavaa vizuri kapendeza,like kichwani ana wigi,kope za bandia,mambo ya lipstick yani kifupi anaenda na fashion anajipenda na kupangilia mavazi yake vizuri while mwanamke mzuri ni yule ambae anaweza akawa na u hair wke natural tu hata ndani ya twende kilioni,kavaa skirt ya malinda kifupi hajajiwekw ma artificial ila ukimuona mwenyewe unamkubali kua ni mzur....of which wanawake wengi hapa Daslam kwetu si wazuri but ni warembo full artificial kuanzia juu mpaka chini
Wakati mwingine najisikia uvivu kutoa fafanuzi...huwa nashiriki majukwaa mengi hapa JF na nikiamua kuelezea jambo huwa napenda kulifafanua kwa kina...kwa uchache labda nikupe tu hizi dondoo hapa chini;
Uzuri - Ni mwonekano ambao mtu anakuwa amejaaliwa au kaumbwa nao.
Urembo/Ulimbwende/Umaridadi - Ni ile hali ya kuendana au kufuata mitindo wa mavazi,vipodozi n.k "fashion"