Wanawake wote ni sawa


Maleezo.mengi kwenye swali dogo ila pia umejiandaa kujibizana
 
Sasa tunafurahi nini??? Yangu ipo tofauti na wengine
hebu tuambie, utofauti wa hiyo ya kwako na wanawake wengine ni nini? laba kama itakuwa imekeketwa, ila kama iko vilevile, hakuna tofauti yeyote. kama ipo iseme.
 




Yaani kwa miaka yote hii ndiyo umekuja kugundua leo hii, vipi mwenzetu ulichelewa kubalehe?
 

basi usimuache mungu aliyekurehemu. na omba sana pepo lisijekukurudia tena maana utaona kaburi sasa.
 

Ulikuwa na pepo linaitwa Bluetooth,.. Hili kazi yake linakufanya ugonganishe vkoj..oreo.
 
basi usimuache mungu aliyekurehemu. na omba sana pepo lisijekukurudia tena maana utaona kaburi sasa.
asante. bora wewe umejitokeza na kuongea, unajua wanawake kwenye suala linaloongelea hapo mahali penye garama kuliko kote, huwa wanakimbia hawaongelei kabisa kwasababu ya inferiority complex,

ndio maana hata ukitoka nje na mchepuko huwa wanataka kuujua huo mchepuko ukoje na kitu gani mchepuko amemzidi hadi mmewe akaenda huko, akiona mchepuko wenyewe ni hohehae anaena mbele kama anarudi nyuma huwa wanasamehe ila akiona mchepuko ni bomba, haji kukusamehe. jiaminini tu, nyote mko sawa tu. acheni kuhofu na kujihisi kama hamjakamilika.
 
.Afadhari maana umesaidia kuelimisha na wale wengine walio kama wewe waliogenerate theory za asali ya Amina ni tamu kuliko ya Asha. kumbe hamna utofauti izo zote ni asali tu.
 
Unajidanganya hata wanaume hatufanani maumbile, research yako umefeli kabisa japo sikushauri urudi ukafanye tena Big No!

amesema, naquote, "sisi wanaume ndo nafikiri tumetofautiana" mwisho wa kuquote
 

Kwel ulikuwa na pepo mchafu ww.. na cjui kama wameshatoka wote!!
 
Wenye rambo,bwaya na wenye kitu mmma ni sawa ????siamini n nadhani utamu wa pipi ni mate yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…