Hahahaaa! Nilijua tu huwezi kosa utetezi.Haha sina wivu bwana emmy... nilikuwa napima ni kwa jinsi gani you believe how biurifuli you're.
Ila mara nyingi wanakuaga na tuchura tudogodogo sana but kiukweli black is beauty!Wanajamvii habari za weekend, nitakuwa nadhulumu nafsi nisipowapa sifa wanawake wote weusi kwa kuwa wananivutia sana huwa nahisi ni kutokana na mimi nilivyo ila....
Kwa wachache niliokutana nao walikuwa waaminifu, wakweli, wakipenda wanapenda kweli, washauri wazuri, hawajiskii, hawana tamaa, waelewa, hupenda kukupa lift unapokwama, wivu unaotakiwa, waelewa, wanasubira pia.n.k.
May God bless all black women..
Nafurahi kusikia hivyoHakika
HahahaaaIla mara nyingi wanakuaga na tuchura tudogodogo sana but kiukweli black is beauty!
Umenisusa sana ujue sio vizuri jmnNafurahi kusikia hivyo
Hapana bana, can't kususa you at allUmenisusa sana ujue sio vizuri jmn
Kiukweli mbavu toa ndiyo maana nimepiga kambi hapa.Hahahaaa! Nilijua tu huwezi kosa utetezi.
Haya bwana ila kiukweli tunavutia wacha tu tupewe sifa zetu.
Nikumbushe mkuu.. HaaahaKuna sifa umwiacha mkuu ebu imalizie basi [emoji13][emoji13][emoji13]
HaaahaaaLeo kila mwanamke mweusi!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha nicheke tuHapana bana, can't kususa you at all
[emoji28] [emoji28] [emoji28]Leo kila mwanamke mweusi!
Haha usicheke hata[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha nicheke tu
HahahaaaLeo kila mwanamke mweusi!
Nimeighairi ghafla.Huitaki tena rangi yako ya mtume?