we jamaa si ndiye uliyeandika uzi mwakajana umeponea chupuchupu na HIV kisa mkeo ni mwathirika na hakuwahi kukwambia na ulikuja tukupe maoni humu JF kabla hujaenda kupima,... kumbe bado unaendelea na habar za vitumbua
Madem weusi wana raha yake, weupe wana taste yake ni swala la kisaikolojia tuu halina maana yoyote, physiology iko vilevile ila akili yako ndo inaporomosha madudu unayojiskia mda ule