Wanawake weupe vs Wanawake weusi

Black very hot while white African cold. Black niwatam sana asikwambie mtu Mungu anatisha.
 
Reactions: wax
Hii unazungumzia kwa dunia nzima,au africa,au tanzania au dar peke yake ?

Ukinijibu na kuja na sherehe juu ya swali langu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ila wakati wa majamboz kabla ya kupandiza kuchezea nyeupe inapendeza kidogo, kuna nyingine nyeusi mpaka mmmh!
 
Nadhani Tatizo halipo kwenye Rangi Bali Mindset kuhusu "Weupe" na hii Mindset imesababishwa na sisi wenyewe wanaume kwa "Ku Prefer" zaidi wanawake weupe (na tunge prefer weusi nao wangekuwa kama weupe walivyo sasa), kwahiyo ikitokea Naturaly Mwanamke ni Mweupe Basi anakuwa na Soko Kubwa kwa wanaume, kwa Muktadha huu tatizo ni sisi wenyewe wanaume, tukiweka thamani sawa kwa wanawake wote basi hizi lawama za wanawake weupe kujisikia na kutotulia hazitojitokeza tena!

ALFRED
 
Yes hyo nimeipata mubashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha
 
Yaani hujakosea kukiwa na wasichana mf.5 , weusi 3 na weupe 2 me wengi wanakimbila weupe wala wenyewe hawajiweki kimbelembele rangi zao zinaita, yeye aseme tu alimpenda mweupe sasa hakukubaliwa kaamua kutoa povu humu, au jirani kaopoa white sasa kijiba yawezekana yeye alifukuzia wakamtolea nje kwahiyo hasira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…