nimekupenda bure, sio hawa wengine wanaogopesha watu mara ohoo weupe ni baridi ama wembamba ni baridi ...kwani wamekuwa fridge? si wanaishi kwenye dunia hii moja?

Wanawake wote sio sawa kila mtu na manjonjo yake rafiki na Radha yake ya kitumbua.. kwani kwa uzoefu wako wa wanaume. Unaweza sema wanaume wote ni sawa?