LILENDI JF-Expert Member Joined Oct 27, 2013 Posts 1,400 Reaction score 497 Nov 15, 2013 #21 bona said: i wish u were true!!!!!! Click to expand... I wish u realized it to be the truth
U ugalila JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 652 Reaction score 603 Mar 16, 2016 #22 Ubahili ni hatari kwa mjini hapa unaweza kosa demu kabisa
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,926 Mar 16, 2016 #23 ugalila said: Ubahili ni hatari kwa mjini hapa unaweza kosa demu kabisa Click to expand... Na kwa nn uwe mbahili??
ugalila said: Ubahili ni hatari kwa mjini hapa unaweza kosa demu kabisa Click to expand... Na kwa nn uwe mbahili??
U ugalila JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 652 Reaction score 603 Mar 16, 2016 #24 Katavi said: Na kwa nn uwe mbahili?? Click to expand... Na utapendaje vitu vizuri wakati wewe ni mbahili??
Katavi said: Na kwa nn uwe mbahili?? Click to expand... Na utapendaje vitu vizuri wakati wewe ni mbahili??
NIMPENDENANI JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 6,114 Reaction score 5,398 Mar 16, 2016 #25 Nadhani inategemea na mwanamke unae chukua,wanawake wengi wanaojitambua hawapendi offer,na hata ukiwapa anaweza mkala na yeye akalipa,lakini kwa wanaume wenye IQ ndogo watachukulia mdada anajishaua...
Nadhani inategemea na mwanamke unae chukua,wanawake wengi wanaojitambua hawapendi offer,na hata ukiwapa anaweza mkala na yeye akalipa,lakini kwa wanaume wenye IQ ndogo watachukulia mdada anajishaua...
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,926 Mar 16, 2016 #26 ugalila said: Na utapendaje vitu vizuri wakati wewe ni mbahili?? Click to expand... Ndio hapo sasa shida ilipo
ugalila said: Na utapendaje vitu vizuri wakati wewe ni mbahili?? Click to expand... Ndio hapo sasa shida ilipo
mkupuo JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 1,945 Reaction score 2,430 Mar 16, 2016 #27 Kitu cha bure ni oxygen tu!
M manyovu 1 Senior Member Joined Jan 14, 2016 Posts 141 Reaction score 57 Mar 16, 2016 #28 Mamndenyi said: Una bahati mbaya kwa kuwa unakutana na wa hivyo, Ila siyo wanawake wote wana tabia kama hizo. Click to expand... Hahaahar, yaweza ww pekee ndio hupendi ofa za bure ila waliokubaki wanahitaji watumbuliwe majipu ya kupenda vya bure
Mamndenyi said: Una bahati mbaya kwa kuwa unakutana na wa hivyo, Ila siyo wanawake wote wana tabia kama hizo. Click to expand... Hahaahar, yaweza ww pekee ndio hupendi ofa za bure ila waliokubaki wanahitaji watumbuliwe majipu ya kupenda vya bure
M manyovu 1 Senior Member Joined Jan 14, 2016 Posts 141 Reaction score 57 Mar 16, 2016 #29 lara 1 said: Mmmmmmmmmmh! NJOO TUKUPE OFA SIE UFURAHI!!!!!! Pesa ndogo unawazaaaaaaaa!!!!!!!! Click to expand... Lara umesahau thread zako za kuwachuna wenzetu
lara 1 said: Mmmmmmmmmmh! NJOO TUKUPE OFA SIE UFURAHI!!!!!! Pesa ndogo unawazaaaaaaaa!!!!!!!! Click to expand... Lara umesahau thread zako za kuwachuna wenzetu