proxy
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 1,468
- 1,329
Habari za muda huu wana jf ,bila kupoteza muda nije moja kwa moja kwenye mada.
Takribani kama wiki moja hivi nilikutana na pisi kali sana ikiwa dukani ikiuza.Baada ya maongezi ya hapa na pale nilibaitika kupata namba yake na mawasilianao yakaanza rasmi.
Nikiri tu wazi kwamba toka tuanze kuwasiliana kuna vimizinga vya hapa na pale tayari imepigwa kama vile ,vocha ,misosi na n.k.
Jana nilimcheki mida kama ya saa moja hivi nikampanga tuonane geto, lakini naona misioni ilifeli kwa sababu anadai hakuwa sawa.
Leo mchana kanicheki akidai anashida ya pesa ya kusukia ,nikamjibu poa utakuja kuchukua geto.
Alivyosikia kuhusu geto stori zikawa nyingi na baadae akanitumia sms eti kama kija kichukua aje na rafiki yake.
Binafsi sijamjibu mpaka sasa anatuma sms nyingi bado nimeuchuna nafikiria cha kumjibu ,hivi nyie wanawake mnaojiona pisi kali mnamatatizo gani? Sasa uje na rafiki getoni kwangu ili iweje?