Wanawake wenye tabia kama hii huko kwenu wapo pia?

proxy

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
1,467
1,327
Habari za muda huu wana jf ,bila kupoteza muda nije moja kwa moja kwenye mada.

Takribani kama wiki moja hivi nilikutana na pisi kali sana ikiwa dukani ikiuza.Baada ya maongezi ya hapa na pale nilibaitika kupata namba yake na mawasilianao yakaanza rasmi.

Nikiri tu wazi kwamba toka tuanze kuwasiliana kuna vimizinga vya hapa na pale tayari imepigwa kama vile ,vocha ,misosi na n.k.

Jana nilimcheki mida kama ya saa moja hivi nikampanga tuonane geto, lakini naona misioni ilifeli kwa sababu anadai hakuwa sawa.
Leo mchana kanicheki akidai anashida ya pesa ya kusukia ,nikamjibu poa utakuja kuchukua geto.

Alivyosikia kuhusu geto stori zikawa nyingi na baadae akanitumia sms eti kama kija kichukua aje na rafiki yake.

Binafsi sijamjibu mpaka sasa anatuma sms nyingi bado nimeuchuna nafikiria cha kumjibu ,hivi nyie wanawake mnaojiona pisi kali mnamatatizo gani? Sasa uje na rafiki getoni kwangu ili iweje?
 
jua hupendwi
 
Mwache aje na rafiki yake, unapiga naye show mbele ya rafiki yake.

Wakati nafanya kazi site UDOM, nikamuelewa mtoto mzuri wa Kigogo aliyekua anakaa jirani, piga saundi akaelewa somo.
Nikamwambia aje ghetto, kwa aibu za kike na kutokujua ghetto kaitiwa nini akaja na rafiki yake. Nikaona usinitanie, japo nimepanga chumba kimoja ila tunamalizana hapahapa mbele ya rafiki yako. Nikavaa sura ya roho mbaya nikalazimisha penzi mbele ya rafiki yake. Akaniachia mbususu.
 
Ulitisha sana mwamba
 
Aisee mkuu At 39 years tena from Mbeya mbona kama umechelewa kuwajua wanawake?

Tumbinu huto mbona twa kizamani sana umefeli wapi?
 
Chai ya tangawizi na mdalasini hii
 
Aisee mkuu At 39 years tena from Mbeya mbona kama umechelewa kuwajua wanawake?

Tumbinu huto mbona twa kizamani sana umefeli wapi?
Sasa hizo si namba tu mkuu zinaandikwa tu wala zisikutie hofu.
 
Aisee mkuu At 39 years tena from Mbeya mbona kama umechelewa kuwajua wanawake?

Tumbinu huto mbona twa kizamani sana umefeli wapi?
Hahaha hajui kuwa ke mwenye 20th akili ni kubwa zaidi ya me wa 40
 
Hahaha hajui kuwa ke mwenye 20yrs skili ni kubwa zsidi ya me wa 40
Hizo ni namba Tu ,sio maanayake kinachoandikwa hapa ni sawasawa ,mfano wewe umeandika hilo jina maamini sio jina lako sahihi.Halafu isitoshe ishu za umri hazinaga nafasi sana kwenye hayo mambo ndio maana madingi wa siku hizi wanakula mpaka vitoto vya msingi.
 
Hahaha hajui kuwa ke mwenye 20yrs skili ni kubwa zsidi ya me wa 40
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom