Wanawake wenye ndevu

BatteryLow

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
446
Reaction score
149
Habari wana jf! Naomba kwenda straight, eti kwa nini wanawake wenye ndevu hawanyoi? Naomba ufafanuzi anayeelewa, kwani kuna mmoja aliniambia eti wakinyoa wanakufa.
 
Inasemekana wakinyoa zinakuwa kwa kasi na wingi kama dume lkn wanatabia ya kutongoza sana wanaume hicho ndio sikielewi kabisa conection ipo wapi ndevu zao na ushapu wa kutongoza wanaume.
 
Inasemekana wakinyoa zinakuwa kwa kasi na wingi kama dume lkn wanatabia ya kutongoza sana wanaume hicho ndio sikielewi kabisa conection ipo wapi ndevu zao na ushapu wa kutongoza wanaume.

hilo la kutongoza sijui.. hakuna ukweli katika hili
 
Kuna yule mdada msemaji wa polisi ya bongo anaitwa nani sijui alvera au sensisio yani ana ile 'O' kabisa yani mpaka raha ila simpendi mimi yule simpendi kabisa sababu muongo sana yani huwa anakanusha kanusha mambo lakini badae anaumbuka
 
mi nawapenda sana cjui kwa nin... nshakuwa nao wawili.. dah
 
Wanabahati sana ya pesa na hua namafanikio sana.na wakinyoa zinaota haraka
 
Kuna yule mdada msemaji wa polisi ya bongo anaitwa nani sijui alvera au sensisio yani ana ile 'O' kabisa yani mpaka raha ila simpendi mimi yule simpendi kabisa sababu muongo sana yani huwa anakanusha kanusha mambo lakini badae anaumbuka

Huyu dada kwa kweli muongo mno jana alikuwa anahojiwa na BBC anazungumzia jeshi la polisi kama vile halina kosa wala rushwa yeyote na kama zipo wanasingiziwa!!yaani alinikera sana.
 
Amino usiamin %90 ya wenye ndevu chanzo ni vipodozi visivyo na mpangilio

Sio kweli ungesema 10% huenda, mbona wengi wenye ndevu ni weusi tu? Hiyo ni hormonal imbalance ni kama wale wanaume wenye sauti nyembamba nao ni mkorogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…