Nipe hiyo link ni google asee nami nipate maujanjaNi maumbile tu; Mambo ya hormonal imbalance hayo, sio issue.
Tatizo letu ni uelewa mdogo wa mambo haya, si unajua elimu yetu tena. Wenzetu huko ulaya hawahangaiki na haya tena, awareness ni kubwa kwao.
Anyways, google zaidi.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nasikia wanawake wa hivyo wanabahati ya kwanja kinoma.
Na wenye vipara pia
Bro wanawake wote wanaopoteza nywele sababu ndo hii?..Mana hiyo nimeisikia zaidi kwa wagonjwa wa CancerChemotherapy, bro.
Bro wanawake wote wanaopoteza nywele sababu ndo hii?..Mana hiyo nimeisikia zaidi kwa wagonjwa wa Cancer
Ok..Nimekupata broNo, sio wote. Ila akiwa na kipara, anaweza chemo, fashion, au akatupia wig. Matter fact, jamii ndio tutafikiria hivyo.
SaaNaa na nyota yao haififiii ni ya simbaa kumiliki msituu. Na mume hutangulia kufa wasemavyo mjini.Nasikia wanawake wa hivyo wanabahati ya kwanja kinoma.