Wanawake wenye midomo

we hujajua tu !siri ya mtu yyt mwenye mdomo wewe jitahd usiwe na mdomo !unamvunja nguvu za kubwata bwata kila mara !akianza kubwata we kalalle !lazima akae kimya!
Mwingine ukikaa kimya anasema umemdharau
 
Hv kuna wanawake hawana midomo?
 
Piga mashine chief kila kitu kitaenda sawa..hawa viumbe ugumu ukiwazidi wanaongea hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…