Petabyte186
Member
- Jul 10, 2017
- 91
- 36
Hivi kuna wanawake wasio na midomo?
Tafuta sababu ya huo mdomo hata mbwa habweki mpaka kitu kipite mbele yake hata inzi hivyo yawezekana hautimizi majukumu yako pia wanawake wasio lizishwa kunako huwa na hasira sana kama wako yupo hivyo wajibika uone kama atabwatuka tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaa mambo best, unajua wanatusema sana wakati wenyewe hawajui wajibu wao kazi kutukana wanawake wapambane na hali zao kama ziro to be wavumilie tu midomo yetu hakuna namnahahahaha yaan nikikuonaga huwa najua nitacheka !yaan we mdada una manenooo hhehee !ni kweli usemayo kila mtu anajua jinsi ya kuzuia hisia zake na mihemko
Atakuwa anachekacheka tu muda wote....anakumbukia maraha.we hujajua tu !siri ya mtu yyt mwenye mdomo wewe jitahd usiwe na mdomo !unamvunja nguvu za kubwata bwata kila mara !akianza kubwata we kalalle !lazima akae kimya!
Wapo hata mme aondoke arudi baada ya mwezi hana cha kuuliza yupo radhi akakope lakini asimuulize huyu bora mme na maisha yanasongaHivi kuna wanawake hawana midomo!! Wanapatikana sayari gani mkuu?
Hiyo sio njia ya uhakika wewe ni kuhakikisha kila mwaka mimba atafunga mdomo hutaaminiwe hujajua tu !siri ya mtu yyt mwenye mdomo wewe jitahd usiwe na mdomo !unamvunja nguvu za kubwata bwata kila mara !akianza kubwata we kalalle !lazima akae kimya!