Muulize@watu8 nilikuta mahali anaelekeza huko
haha ha, hakika hawatakubali aisee....
Huto ni tuhipsi mimi kanga ya urafiki haitoshi
kuna wengine full mahips kalio kama chapat!!
Huto ni tuhipsi mimi kanga ya urafiki haitoshi
nielekeze njia ndugu, nimepotea
Hahaha...eti wanasema lipo kule chini kabisa lakini sijui chini ya jeiefu ndio wapi!!!
Inamaana na wewe hujui au unanibania ndugu??
Nikipotea utalaaniwa.