Inasikitisha sana! Kuna rafiki yangu mmoja ambaye kwa sasa ananafasi nzuri serikalini. Yeye na wadogo zake wawili wa kike walipata mateso mengi mara baada ya kifo cha Mama yao Mzazi. Mama alipofariki alimuacha huyu rafiki yangu aliwa na umeri wa miaka kumi na moja na akisoma darasa la sita katika shule moja ya binafsi na wadogo zake wakiwa na umri wa miaka tisa na saba nao wakisoma katika shule hiyo hiyo.Dear Mama wa kambo,
Tokea uje kwetu maisha yetu yamekuwa mabaya kwa maana umekuwa unatunyanyasa unatufanyia visa juzi mdogo wangu umempiga na ufagio mpaka akazimia alipozinduka kwa juhudi zetu .
Ulimnyima chakula ukamwamrisha asilale kitandani alale chini ya sakafu tena bila huruma .
Tunaumri wa kupendwa sio wakupigwa na kunyanyaswa.
Umekuwa ukitupiga kutuchoma na moto kupitia vitu vikali ,umekuwa unatulaliza njaa ,umekuwa unatutumikisha tena kazi nyingi unatupa ambazo hatuwezi sisi kuzifanya.
Tunapika,tunafua,tunadeki,tunaosha vyombo watoto wako uliokuja nao wanaumri wa mkubwa kushinda sisi.
Maisha yetu hatuna muda nayo tokea tuje niwewe tu ndio unatutesa tu.
Mama wakamboo tumekufanyia nini hadi ututesee hivi?Shuleni hatuendi wala nini kazi zimekuwa ni hizo tu kwanini lakini? Halafu wako wanaenda shule wanaishi kwa amani .
MAMA TUMEKUFANYIA NINI.
😪😭😭😭😭 HUU UJUMBE NIMEKUTA KWA MTU FULANI JE HUYU MAMA ANAFANYA SAWA?
Sijui ila hata baba wa kamboo usimwachie mtoto wa kike akae naye kwishaKwa nn mama wa kambo anakuwa na roho mbaya hivi tofauti na baba wa kambo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana nilitegemea tu nitapata jibu kama hili ila wamama mmezidi kwa ukatiliSijui ila hata baba wa kamboo usimwachie mtoto wa kike akae naye kwisha
Tunampango huoSi mumpige tu
Mzungu mambooWe unaonaje
Kwa nn mama wa kambo anakuwa na roho mbaya hivi tofauti na baba wa kambo
Ukiona Wakewenza wanapendana sana na Mume wao alisha fariki, ujuwe kuna uwezokano walishirikiana pamoja kumtanguliza Mume wao kwa Sir God!!Sisi hiyo haitatokea tena
Maana kila mtu anajitegemea na mume wao wa kuwatia jeuri kashafariki wamebaki kina mama tu, cha ajabu sasa watoto tunapendana kiajabu sana wa mama yule unakuta anapendana sana na wa mama huyu na ndio msiri wake yaani imetokea tu
Mimi imetokea napendwa zaidi na mamkubwa kiasi wengine wote wameshajua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimechekaUkiona Wakewenza wanapendana sana na Mume wao alisha fariki, ujuwe kuna uwezokano walishirikiana pamoja kumtanguliza Mume wao kwa Sir God!!
Ni mawazo yangu tu lakini!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka
Lawyer niko hapa, subiri nikuje kwa mind yako tuendelee kuthink [emoji126]
Poleee mkuuNinavyowapenda wanagu ,,nikifikilia kumtimua mama yao kwa jeuri na upuuzi wa kila aina, nikikumbuka watakavyoishi na mama wa kambo dah!! Naamua kumpotezea tu huyu jinga mzazi mwenzangu
Asante mkuu tunaishi kwa kuvumiliana tuPoleee mkuu