katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Lawyer niko hapa, subiri nikuje kwa mind yako tuendelee kuthink 💃Wito wangu, wanaume kama watoto wadogo, na ikatokea umetengana na mama yao kwa sababu yoyote ile ya msingi, usioe tena...Lea wanao...wakaishakuwa na kuanza kujitegemea hapo unaweza kuoa katoto kazuri ka kukuchangamsha wewe na mafao yako uzeeni...
I tried to think without my lawyer..[emoji848][emoji848][emoji848]
...your are welcome...[emoji3][emoji3]Lawyer niko hapa, subiri nikuje kwa mind yako tuendelee kuthink [emoji126]
Nikweli miaka 3 nanusu unampa aoshe vyombo eti akisema siwezi unamchapa mpaka azimie kweli ??Wamama asilimia kubwa(sio wote) kuishi vizuri na watoto wa mwenzie wanaona kama ni najisi.
Mi naona kama ni "nature" iko hivyo sababu hata ukichukua kifaranga ukampeleka kwa kuku ambaye sio mama yake atauwawa tu iko hivi pia hata kwa wanyama wengine wengi.
Ni wazo langu tu!!!
Hiyo barua ipo na mimi na huyu mama ni rafiki wajirani yangu before sijajua ni evil until aliponipa ile barua wee halafu anaona hao watoto ndio wamekosea sio yeye halafu wanaume ni wabaya kweli hawaangalii maendeleo ya watoto wao .Mripoti kwenye vyombo husika uwe na ushahidi pole sana
Mpe watoto bibi kama mama yao kawakataa.🙄🙄🙄 ni nafuu zaidi.Wito wangu, wanaume kama watoto wadogo, na ikatokea umetengana na mama yao kwa sababu yoyote ile ya msingi, usioe tena...Lea wanao...wakaishakuwa na kuanza kujitegemea hapo unaweza kuoa katoto kazuri ka kukuchangamsha wewe na mafao yako uzeeni...
I tried to think without my lawyer..[emoji848][emoji848][emoji848]
UsitutisheHiyo barua ipo na mimi na huyu mama ni rafiki wajirani yangu before sijajua ni evil until aliponipa ile barua wee halafu anaona hao watoto ndio wamekosea sio yeye halafu wanaume ni wabaya kweli hawaangalii maendeleo ya watoto wao .
Kuweni makini MAMA WA KAMBO NI WAKAMBO TU
Binadamu c kuku japo ni mnyama alie pewa utashi kuzid wanyama wote[emoji848]Wamama asilimia kubwa(sio wote) kuishi vizuri na watoto wa mwenzie wanaona kama ni najisi.
Mi naona kama ni "nature" iko hivyo sababu hata ukichukua kifaranga ukampeleka kwa kuku ambaye sio mama yake atauwawa tu iko hivi pia hata kwa wanyama wengine wengi.
Ni wazo langu tu!!!
Unabahati sn mkuu ht mm ilikua km ww ila alivokuja kukengeuka kw ibilisi maana alivomaliza kwangu kageuka kwa wanae wa kuwazaa yan kavuruga familia nzima,cjui nan anamtia kichwa?au kwavile mwl.mkuu mamaake! [emoji2955][emoji57]Inategemea......
Mama yangu wa kambo ananipenda sana na nipo huru nae kuliko mama yangu mzazi, na mama yangu wa kambo ni mke mkubwa kiasi ndio angekuwa na chuki mno.
Tena umenikumbusha wacha nimpigie tutaniane saizi.
Sisi hiyo haitatokea tenaUnabahati sn mkuu ht mm ilikua km ww ila alivokuja kukengeuka kw ibilisi maana alivomaliza kwangu kageuka kwa wanae wa kuwazaa yan kavuruga familia nzima,cjui nan anamtia kichwa?au kwavile mwl.mkuu mamaake! [emoji2955][emoji57]