Wanawake wengine ovyo kabisa

Ahahaaaa nitageuka.

Sina cha kupost ndio maana nmeona nibaki kuchangia tu.
Ooohhh sawa ,ujue hata ivo ,, Ukitaka kua namaarifa sana nauelewe sana ,inabidi uwe msikilizaji alafu unachangia step kwa step .

BTW ,,Mwaka ndo huu unakaribia , tumebakiza siku japo mambo yanaweza badilika muda wowote ila Naamin Tutaumaliza ,,, Kwako weee Tukio gan humu JF kwamwaka huu limekukusisimua sana wakat tunangoja ugeuke tukuone kasura.
Ahahaaaa nitageuka.

Sina cha kupost ndio maana nmeona nibaki kuchangia tu.
 
Daaaaaah hahahahahaaa hivi kuna wanawake vibaka kumbe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna jamaa alimtafuna demu akasahau vifuniko vya asali kitandani mbona kesho yake jamaa alimpigia demu simu ampelekee sehemu alipo!
 
mbona dawa ni ndogo, mchukue muishi nae maana hata kuwa akichukua tena. bali anavaa anafua nawe ukijisikia kuvaa unachukua.

mweke ndani mkuu,
 
yaan kuchkua tu tsht tuwili tu na karaba ka 30000/- unatoa povu namna hyo ? je wale wanaopenda ndinga za wenzi wao anaondoka nalo anakuwa anatamba nalo town tuwaweke wapi? likiharibika anakurudishia !teh teh !usioe kwanza wewe jipange kiuchumi kwanza !
 
Umesahau na boxer [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…