Wanawake wengine ovyo kabisa

kwanza tu kuongea kauli ya "mamaaaaaaa" hapo kwenye red, umeonyesha wewe sio mwanaume kamili. jichunguze, kauli za mademu hizo.
 
kwanza tu kuongea kauli ya "mamaaaaaaa" hapo kwenye red, umeonyesha wewe sio mwanaume kamili. jichunguze, kauli za mademu hizo.
unaka uthibitishe nikutumie kiungo kipi
 
nasikilizia mwezi huu asipo ilewa somo itakua sina bahati ya kupata mke mwema
Sikilizia ,,ila usimwache kwamatusi kabisa na kejeli
Muache kmya kimya kata matumizi mdogo mdogo


Hiii itakupa fursa yakumhitaj tena ukiwa unaham nae
 
Vijana mnao anzisha mahusiano msitumie neno mzinga kukwepa majukumu yako
Mkuu kua wanawake wanamahitaji mengi na unapojitokeza na kutangaza kua unampenda mwanamke huweka tumaini kwako kwa kila kitu hiyo hu occur naturally.
Sasa mfalme anae lalamika kuombwa mamia , makumi maelfu na malkia wake je anafaa Kua mfalme ?
Kama vijana hampendi mizinga muaache akina Dada huru.
Wengine wakati wana tongoza huahidi mambo makubwa kuliko vitu vidogovidogo vinavyo walalamisha mpaka kwenye mitandao.
Vijana tujisahihishe.
mke yupi ndani ya miezi 2
 
Ukitaka kuoa unaetaka kum is nimke wako otherwise una mdanganya atakua si mke wako
 
kwanza sijui kutongoza nakuchana tu
 
Kwa kumkomoa akija na we we vaa bikini yake na sidiria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…