Mjinga kweli wala hujakosea mkuuKwakua ni muajiliwa na kwao mambo safi, huyu mtoto ni mjinga sana.
Jamaa kuna uzi fulani unahusu matatizo ya simu, sasa kuona watu wengi wanalia matatizo ya simu zao akaanza kuwapiga vijembe eti"kwa uchunguzi wangu nimeona watu wengi wanatumia makopo",,, sasa ukilinganisha na hayo aliyoyaandika hapo, nd utagundua yeye simu yake ni kopo la aina gani, linaloweka nukta katika kila sentensi…!!Mkuu hizo nukta nukta zinaumiza macho sana, unatumia SIEMENS DOLE GUMBA?
acha maneno ya khanga me siwezi tumia kopo kama lakoJamaa kuna uzi fulani unahusu matatizo ya simu, sasa kuona watu wengi wanalia matatizo ya simu zao akaanza kuwapiga vijembe eti"kwa uchunguzi wangu nimeona watu wengi wanatumia makopo",,, sasa ukilinganisha na hayo aliyoyaandika hapo, nd utagundua yeye simu yake ni kopo la aina gani, linaloweka nukta katika kila sentensi…!!
Mtu wa ajabu sana huyu.Jamaa kuna uzi fulani unahusu matatizo ya simu, sasa kuona watu wengi wanalia matatizo ya simu zao akaanza kuwapiga vijembe eti"kwa uchunguzi wangu nimeona watu wengi wanatumia makopo",,, sasa ukilinganisha na hayo aliyoyaandika hapo, nd utagundua yeye simu yake ni kopo la aina gani, linaloweka nukta katika kila sentensi…!!
mke yupi ndani ya miezi 2Katika maelezo yako mbona huja taja Kama ulisha mnunulia underwear?
Bora huyo anae chukua nguo zako.
Chamsingi hujatambua majukumu yako inafanya uchukie wanawake nikukumbushe kua moja kati ya majukumu ya Mme kwa mke niku hakikisha kua mke ana vaa vizuri Na kupendeza awe Na kazi au law nijukumu lako Na pesa zake hazikuhusu ukizitolea macho direct or indirect utapata with assohle
na hili kila baada ya siku 3 anataka kusuka nilimshauri anyoe tu maana kila siku 3 tsh50Aiseeeee , havichukui sababu anashida .....WANAWAKE huwa wanatabia yakutaka kuonekana wanatoka namtu fulan .
Apo upo !!!!!....
Pili anapovaa vitu vyako nisuala lakujivunia sana ,kama ni t shirt basi dunia yote itajua wee ndo unamiki.
Nakama ni Boxer akivaa ,,huongeza ukaribu mno wakusex naww anakua anakua anakuwaza kimapenzi.((( Basi tu hujui KABLA hajavaa mambo gan hujisemea moyon )).
Apo upooo!!!!.
Namwisho ,,Anapovaaa nguo yako au kitu chako anajisikia kua huru zaidi alafu anakukumbuka .
Apo upooooo.
NNE,,, Ujiongeze man ,,ukiona mwanamke wako anapenda vitu vyakiume mnunulie km suprize upoooo.
Tano... Mimi akinitembeleaga Akifika tuu huwa kuna mtishet Wangu mkubwaaa unanivaaaga ,, sasa ndo atalivaaa bila hata Chupi .. Mara akukalie ,,Mara akuonjeshe msosi km nimtamu ili mradi tuu tafuraniiiii.
Kwakweli maisha raha sana.
Unakosea hapa ,,,, unamwambia aache kusuka ,lkn akishakupa uchi ,,unasahau unampa hela ya kusuka .so hawezi kuacha .na hili kila baada ya siku 3 anataka kusuka nilimshauri anyoe tu maana kila siku 3 tsh50
Serikali imeshatangaza SELECTION YA FORM I, soon tutajua tarehe, tusubiri watumiwe joining instruction!Hivi shule zinafunguliwa tarehe ngapi mwakani?
nilikaa nae chini aelewi anasema yeye kazoea kusuka tu ata kuweka dawa ajawahi wekaUnakosea hapa ,,,, unamwambia aache kusuka ,lkn akishakupa uchi ,,unasahau unampa hela ya kusuka .so hawezi kuacha .
MPE somo lenye vitendo km unaona vyuma vimekaza , ila at least kwa wiki mbili Mara moja .