kuna mwanamke nimekutana nae yapata miezi miwili sasa.nilikua na malengo nae ya kuishi kwakua ni mwajiliwa na kwao sio mbaya sana.tatizo lililonishinda mpaka sasa hivi sipokei simu wala kujibu sms zake.wakati namgegedea lodge alikua ana hii tabia.baada ya kumpereka home mamaaaaaaa.kwanza akachukua t-shet 2 .siku nyingine akavaa laba zangu zake kaweka ktk beg.sasa kinacho niuma kuja kugundua boxer zangu zimepungua.nikampihia simu kumuuliza ananiambia amezipenda tu.nikamwambia sasa hivi kila mtu afuate mambo yake.wewe kila kitu unataka kiwe chako @!@/&**#