Haya mambo yamekuwa overated sana siku hizi...Kingine wanaume mliooa hakikisheni wake zenu kile chakula cha usiku mnawapa kwa speed ya 5G vinginevyo wakikutana na wahuni msianze kulialia
kule huwezi pata access kwa id hiimkuu nikiweka hapa ntakuwa kichwa panzi kama wao,ngoja nizichambue ambazo sio rahisi kugundulika kwa sura thn nifanye mchakato wa kuingia jukwaa la wakubwa afu ntazitupia kule
hapewi kwa hiyo speed ndo afike mahali aanza kutuma picha za uchi?? huo ni ujinga tuu wa wanawake a siku hiziKingine wanaume mliooa hakikisheni wake zenu kile chakula cha usiku mnawapa kwa speed ya 5G vinginevyo wakikutana na wahuni msianze kulialia
Mbona sisi tunashawishika tukiona makalio, mimi siwezi kujizuia kutamani makalio lakini piga picha dudu lako uwatumie wanawake kama watakutamaniSiwezi toa lawama tuu kwa mwanamke ata huyo jamaa pia ni mtu mwenye makosa. Inafahamika wanawake ni viumbe dhaifu wameumbiwa ushawishi ,changamoto ni pale kunapotokea ushawishi juu ya ushawishi inakuwa ngumu kwao
Mwanaume pia anamakosa kashindwa kuheshimu ndoa ya huyo dada na zaidi kashindwa kuheshimu faragha ya huyo dada.
Tulishakubaliana mabaharia ni kitu kimoja kusaidiana wewe ndo wale mnaenda tofauti na jinsia yetu Fanya kutafuta namna ya kumtonya huyo demu bila kujulikana ainusuru ndoa yake
Ningekwambia umtonye jamaa aachane na huyo Malaya ila ulivyosema wana watoto nimewaonea huruma kukosa malezi ya mzazi mmoja au wote trust me ni hatar
At least for the first time in your life Fanya kitu cha busara cha maana ..au endelea kuwa muoga coward
Oyaa Man halafu na Mimi nitumie hizo picha piemu we kausha janja mambo ya kuungilia ndoa za watu yatakutokea puani usimsikilize huyo jamaa alieandika paragraph za hapo juu nisikilize Mimi mlevi we kausha mwamba
Wewe umeoa??Kingine wanaume mliooa hakikisheni wake zenu kile chakula cha usiku mnawapa kwa speed ya 5G vinginevyo wakikutana na wahuni msianze kulialia
Kumbe ni yule dada aliesoma food science ngoja nifanye kumpigia mume wake nimwambie ukweli.hapana mkuu me naoa mwakani,leo nikimfanyia hivi mshkaji,kesho yatakuwa kwangu,si unajua kipimo unachopima ndicho utakacho pimiwa
haaa haaa haaa mkuu utasababisha wote waliosoma food science waanze kuwa na hofu,mbona sio huyo mkuuKumbe ni yule dada aliesoma food science ngoja nifanye kumpigia mume wake nimwambie ukweli.
Mbona sisi tunashawishika tukiona makalio, mimi siwezi kujizuia kutamani makalio lakini piga picha dudu lako uwatumie wanawake kama watakutamani