Wanawake wengine bana..

We nenda tu safari yako, kwa ulikuwa hujajua kwa nini unanyimwa papuchi mkuu? Nakulaga hiyo ngoma we subiria ndoa tu maana ukupewa waweza ghairi.
kupeana ndo kunadumisha love ujue mambo ya kuuziwa mbuz kwenye gunia ctak.
 
Kwakua mmeahidiana kuona ndo iwe tiketi ya kumbandua mtoto wq watu
 
Usitumie nguvu kuomba Papuchi unaharibu broo....Kuwa mvumilivu
 
Kutoa ahadi sio kigezo cha wewe kula mzigo.. Afu ukimla hiyo miaka miwili ukiondoka unadhani ataishije? Tena binti wa watu kama ni bikra na asikupe kabisa hadi umuweke ndani la sivyo ukiondoka ukiwa umesex nae ukirudi utakuja na mada nyingine hapa. Afu kama kweli anakupenda na hajawahi jaribu mchezo kuna asilimia kubwa akakusubiri ukaja ukamuoa. Ila usilazimishe kusex nae kama hajaridhia machoz yake utayalipa in one way or another, don't try breaking the heart of the innocent girl. Safari njema
 
Uraaa kuna kurudi apo kweli miaka miwili ata mi ningekataa lol
 
Dada yangu nakupa salute for your advice
 
Sasa ww unasafiri miaka miwili alafu unataka papuchi Leo!!??? Kwan ukipiga Leo ndo utakaa miaka yote
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…