imenipenya hiyo kaka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmehaidiana kuoana sio wewe kuoa ina maana wote mna maamuzi sawa huna sauti ya mwanzo kwa mpenzi wako
Pia huna lugha nzuri pale unapoomba tendo. Kama unamuacha muache tu maana itakua na yeye kakuchoka kwa vitabia vyako vya chini chini,mwanaume huwa hahesabu zawadi anazoletewa na mpenzi wake ila wewe zawadi unaona ni msaada,pesa unazompa unaona kama ni fimbo ya kupata penzi kila utakapo
Unaonekana ni mbakaji hodari eti au nitumie nguvu hahaha jaman
imenipenya hiyo kaka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]