Ni ukweli usiopingika ikitokea mmojawapo wa hao akina mama amejenga urafiki na kijana mpangaji ambaye ni barchelor atazushiwa kila aina ya ovu.
Wanawake ni wa ajabu sana hawapendi kuona mke mwenzao asaidiwe chumvi au mafuta,acheni wivu usio na tija
Wanawake ni wa ajabu sana hawapendi kuona mke mwenzao asaidiwe chumvi au mafuta,acheni wivu usio na tija