Wanawake wengi wamefanya vizuri hadi sana

singsong

Member
May 7, 2014
77
9
Nilikuwa najaribu kufanya utafiti mdogo kw wamama walio na nafasi na kukuta wamejitahidi sana.
Mfano :
- Mdee amechakarika
- Naibu waziri Anjela
- Mwaiposa Ukonga pamoja na changamoto katika jimbo lake kachacharika sana.
- Asunta Msama naye kapigana
Hiyo ni mifano michache sana

Ukweli wanawake ni waaminifu na wachapa kazi , ni waoga ukilinganisha na sisi midume tukipata tu tunafisadi kila kitu. 2015 wabunge were wanawake bila kujali itikadi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom