Wanawake wengi ni wavivu kitandani


Achana na matemu wa kichaga.tafuta wa tanga hakika wanajua zaidi
 
Mkuu umenena ukweli mtupu, mwanamke hana hata manjonjo yoyote kitandani wa nn?!! ni shiidah, mpaka huwa namkumbuka dem wangu wa kitanga. Wanawake badilikeni, mnakera sana baadhi yenu [emoji16]
Ni kweli kwamba baadhi ya makabilaa kwny sekta ya mapnz wapoo vizurii kamaa ulvyosema dem wkoo wa kitanga?.......
 
mfundishe basi sio kumsema huku...khaaaaaa...ningekuona wa busara kama ungempa somo kidgo...we ni mmbea ..na mwanaume mmbea hatakiwi kwenye jamii...mwanaume mwenye busara akimpenda mwanamke ni zaidi ya manjonjo kitandani...unaweza kupata manjonjo lakini mwanamke anagubu..ukifika nyumbani unpokelewa na makele..shari ndani ya nyumba hazikosekani...bora huyo unaemuita sijui 'gogoliciuos'.

Ushauri wa bure mtafutie kungwi amfunde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…