Wanawake wembamba (vimodo) na mtindo wao mpya

Mange mkuu navutiwa uwoya si unaona alivuliwa live kipilipili kile na angesimama ndio ungechoka, sema editing za picha na rangi zinachanganya watu, na mwanamke mwenye shape akivaa nguno unadata akivua sasa wengine tako linacheza limetepeta balaa
😁😁😁 mko wachache sana mkuu, ila ata wadada wanajua men wengi wanapenda shape ndo mana kuna vigodoro siku hizi vya kujaladia.. dunia inaenda kasi mno
 
😁😁😁 mko wachache sana mkuu, ila ata wadada wanajua men wengi wanapenda shape ndo mana kuna vigodoro siku hizi vya kujaladia.. dunia inaenda kasi mno
Kuna ka dada sio kazuri kisura ila Sasa ka modo kana kishepu amaizing rafik ake akanambia anavaaga kigodo...kwel kigodoro kinasaidiaga Sanaa Kwa wadada...
 
kituo kifuatacho ni kuanza kukaa uchi tu.. african hatuna akili
 
Sisi tunaangalia tako we unaangalia sura? Kwani unat*mba sura? [emoji16][emoji16][emoji16]
Kiukwel mie napenda chura ila lazima na sura iwepo.... of course nachagua. Ww nakufananisha na jamaa yangu mmoja hivi anasema yeye hata mwanamke awe na chongo au sura ya babu yake ila akiwa na mzigo nyuma hamuachi. Ila anakwenda mbali zaidi maana yeye ni muhumini wa Buza (kwa mpalange) na kwenye VX yake anatembea na KY jelly moja kwa moja.
 
Huyo jamaa yako inabidi tumtie katika maombi aisee ili atoke huko alikofika [emoji16][emoji16][emoji16]

Kwenye haya mambo ni kila mtu na lwake ndugu yangu. Cha muhimu kila mtu apate akipendacho ili aridhike, japo kwa muda. Maisha menyewe ni haya haya ati!
 
kituo kifuatacho ni kuanza kukaa uchi tu.. african hatuna akili
Kwa kigezo hiki nadhani ambao hawana akili ni huko Ulaya na Marekani maana wao ndiyo walianza kukaa uchi zamani sana. Sema sisi tuna tabia ya kuiga mpaka tunapitiliza na kuwazidi hata hao tunaowaiga. Tatizo letu kubwa lipo hapo...na hapo ndipo penye ujinga wetu!
 
Kuna jamaa yangu alikimbiliaga demu kisa ana matako nikamwambia my friend, akizaa uyo ndani ya miaka mitatu utaonekana upo mama yako mzazi akawa mbishi leo hii jamaa akuwa na uyo dada utasema wapo na mama yake kazeeka tayali
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna watu wanajua kuponda,eti mama mzazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…