Wanawake wembamba (vimodo) na mtindo wao mpya

Hiyo miaka yako 76 unabidi kuwa Mtu TOFAUTI mwenye maarifa na Hekima na sio kuwa Mtu wa hovyo Kama hivi unasapoti Mada za hovyo
Usinipangie jinsi ya kuishi maisha yangu pulizi. Wewe pambana na ya kwako na sapoti mada zako unazoona kuwa ni za hekima!

Maisha haya mbona rahisi tu kamanda? Fanya ukipendacho ali mradi huvunji sheria!
 
Asikwambie demu mwembamba akiwa na joto halafu shoo kali ndio utajua kila mtu ana mizimu
 
Ukitaka kujua ubora wa mwanamke mwenye makalio na hawa english figure wambie wavue nguno wote wabaki na chupi au wabaki watupu ndio utajua mwanamke mwenye matako ni takataka iliyoifadhiwa kwenye dampo laa mavazi

Usifananishe english figure na haao wacheza mieleka
 
Asikwambie demu mwembamba akiwa na joto halafu shoo kali ndio utajua kila mtu ana mizimu
Kuna jamaa yangu alikimbiliaga demu kisa ana matako nikamwambia my friend, akizaa uyo ndani ya miaka mitatu utaonekana upo mama yako mzazi akawa mbishi leo hii jamaa akuwa na uyo dada utasema wapo na mama yake kazeeka tayali
 
mfano random mkuu

Kati ya uwoya na mange yupi akivua anavutia?

Ukisema Mange ume left chama chetu 😂
 
Ntakula hao Manundu game za shoo na ambazo ni game safari experience tu, lakini hizi memorial trips ni sheou za kati kama ya jana yeye ana trackoo hana matrackoo
 
mfano random mkuu

Kati ya uwoya na mange yupi akivua anavutia?

Ukisema Mange ume left chama chetu 😂
Mange mkuu navutiwa uwoya si unaona alivuliwa live kipilipili kile na angesimama ndio ungechoka, sema editing za picha na rangi zinachanganya watu, na mwanamke mwenye shape akivaa nguno unadata akivua sasa wengine tako linacheza limetepeta balaa
 
Watu wanabisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…