cluster ndara
JF-Expert Member
- Apr 1, 2018
- 211
- 318
Yani ukimpa gari aendeshe bwanaa weeee utadhani gari inajiendesha yenyewe maaana Hawa huwa gari linawavuta wanaendeshwa na gari badala Ya kuliendesha Hawa bhana kila sekta hawanogi eti wanavaaa kitandani maaana wanakunjika heeee mke wa ndani hakunjwi hufanywa taratibu kieshima mwendo wa taratibu taratibu kukunja hukunjwa michepukoYani mke bwana awe mnene hata Kama sio Sana akikaa ndani anajaaa ukisema huyu ndio Mamma watoto yes akikaa kwenye gari mnasafiri ajae kwenye siti akikaa kwenye Koch amepiga bukta ajae kwenye koti Akivaaa Della aonekane kiuno matako mgongo na kifua sio mwanamke akivaa Della unatembea nae watu wanadhani uko na ustaadhi
Unatazama unene kama kigezo cha kuoa?Hivi mwanamume Mwenye akiri timamu aliesoma mwenye dira Ya kimaisha unaenda kuoa mwanamke kimbau kisa ni msomi au anasura nzuri
Jamani mwanamke mwembamba hawezi kuwa kwenye bonge la nyumba akaonekana ni mama mwenye nyumba huonekana Kama msichana wa kazi tu, unatembelewa na Rafiki yako anaingia sebureni anamkuta kimbau kinapebea kwenye makochi jamani yani ukiwakuta wamekaaa kwenye kochi utadhani ni msichana wa kazi haya sasa aingie kwenye gari mnaenda kanisani anakaaa robo siti yani kuna Wakati unafikiri uko pekeee yako mtu akikuomba rifti ukisimama anafungua mlango wa mbele akidhani uko pekeee yako akifungua walllllaaaa kumbe kuna mtu
Kweli mmeamua kututukana leo namwambia auntie yangu akuacheWanawake wembamba mi nawaonaga kama mistimu tu ya umeme
nikipashana nao hata sigeuki
Kaone!!!!Wanawake wembamba mi nawaonaga kama mistimu tu ya umeme
nikipashana nao hata sigeuki
Nimseme vipi akati nyie ndio wenyewe baana! mumenona nona kiasi kwamba unakutana na kitu kimetuna nyama za kutosha dadadeq![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sitaki unataka umseme na yeye
Huwa tunanyimwa kote tunapewa nyama hukoNimseme vipi akati nyie ndio wenyewe baana! mumenona nona kiasi kwamba unakutana na kitu kimetuna nyama za kutosha dadadeq!
hahahaaa
Hahhaha najimwaya vipi auntie huoni mpaka mumeo anatutukanaLeo zamu yako mama, jimwae mwae.
hapo ndio mwisho wa upeo wako wa kuelewaYani ukimpa gari aendeshe bwanaa weeee utadhani gari inajiendesha yenyewe maaana Hawa huwa gari linawavuta wanaendeshwa na gari badala Ya kuliendesha Hawa bhana kila sekta hawanogi eti wanavaaa kitandani maaana wanakunjika heeee mke wa ndani hakunjwi hufanywa taratibu kieshima mwendo wa taratibu taratibu kukunja hukunjwa michepuko