chifusongea
Senior Member
- Jan 8, 2016
- 164
- 154
Hahahaaaaaa sikujua mapenz ni kukata kiuno.Unamkuta mwanamke na wigi lake la kichina anajitingisha kama nywele zake.Mtongoze sasa,katika mambo Mara utasikia usiniguse nywele zangu dear.Hizo ni nywele zako au bosheni.Hata kukatika mauno hawajui.
Nenda kwa kina Mwajuma sasa na style zao za nywele twende kilioni.Utakatikiwa mauno hadi kidume utaomba poo.
Hamna uhalisia wa ulichokiongea mkuu!
In reality hao wakina mwajuma ndiyo wanaongoza na mawig ya mchina buku tano..
Ebwana eeeh
Hahhahha mkuu, ukizidiwa point then tafuta point yeny maana zaid! Too bad sijawah ila nimejarbu kuangalia ukwel ulipo, yes hata wakina mwajuma wanavaa the cheapest oneWewe pia ni mvaa mawigi.
Sasa kuna uhusiano gani katika kuvaa wigi na kufanya mapenzi??? Au nikuulize nikimchukua yule anaesuka twende kilioni nikamvalisha wigi nae atageuka kuwa 'hajui mapenzi'?Unamkuta mwanamke na wigi lake la kichina anajitingisha kama nywele zake.Mtongoze sasa,katika mambo Mara utasikia usiniguse nywele zangu dear.Hizo ni nywele zako au bosheni.Hata kukatika mauno hawajui.
Nenda kwa kina Mwajuma sasa na style zao za nywele twende kilioni.Utakatikiwa mauno hadi kidume utaomba poo.
Hahaaaaaaa.......au umchukue mvaa mawigi afu ukamsuka twende kilioni atajua mapenzi? MweeeeeSasa kuna uhusiano gani katika kuvaa wigi na kufanya mapenzi??? Au nikuulize nikimchukua yule anaesuka twende kilioni nikamvalisha wigi nae atageuka kuwa 'hajui mapenzi'?
Anaogopa gharama si unajua bei zake zile original..........Chunguza mkuu aliyemnunulia wigi.....kama hujanunua we we Basi acha kulalamika!
But ufundi Wa mapenzi na wigi wapi na wapi braza? Mbona Hamna co_relation....
Kama ni gari basi ni Engine, Yani katika swala la ku "do" kama mwanamke hazungushi hata kiuno basi jua ni sawa na gari kukosa engine inabidi ulivute kwa Kamba labda na utafika safari yako ila utakuwa umechoka mno, lilipaswa likubebe au likuendeshe ustarehe matokeo yake umeliendesha wewe. bashasha (romance) ni nzuri ila kiuno ndo mpango mzima.Hahahaaaaaa sikujua mapenz ni kukata kiuno.
Nimekupenda ghaflaKama ni gari basi ni Engine, Yani katika swala la ku "do" kama mwanamke hazungushi hata kiuno basi jua ni sawa na gari kukosa engine inabidi ulivute kwa Kamba labda na utafika safari yako ila utakuwa umechoka mno, lilipaswa likubebe au likuendeshe ustarehe matokeo yake umeliendesha wewe. bashasha (romance) ni nzuri ila kiuno ndo mpango mzima.