Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,939
- 43,573
Kwakweli kuna raha yakuwa na mwanamke anaye hoji kwanini hivi na si hivi? si kila kitu ndio, muda mwingine unaweza ukafikiri huyu ni kichwa maji hata kwenye hili siwezi kumshirikisha maana yeye atasema sawa tuu hata kama sio sawa.
Inakuwa ni vigumu kujua kama kitu au jambo ulio amua ni sawa au lah kama una mtu wa aina ya ndio mzee tena bila sababu.
Inakuwa ni vigumu kujua kama kitu au jambo ulio amua ni sawa au lah kama una mtu wa aina ya ndio mzee tena bila sababu.