Wanawake watata/wabishi ndio wanaofaa kuoa!

mchepuko

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,192
Reaction score
1,418
uyu mke wangu kwao alishindikana,niliambiwa mengi saana juu yake mengine nilijionea.....alikua ni mkorofi hasa ila sio ukorofi wa kipuuzi una logic...sio mtu wa kupelekwa pelekwa au kufungiwafungiwa mahali.....

aliruka ukuta sana tu enzi zake!

nikagundua alikua anakaa na watu ambao hawajagundua her inside portential.Nikaweka ndani!!

walahi mtoto tumishibana...tuna miaka mi3 ya ndoa,ni mama,msimamizi,muwazi na ni mkali hasa pale inapotakiwa kufanya ivyo.....sio mtu wa kuburuzwa...i like her confidence!!

wanawake weengi ambao wamepoa sana huwa ni rahisi kuumizwa,kuburuzwa,hawana misimamo,mioyo yao inadundia kwenye mioyo ya wanaume,hawajiamini,sio marisk taker ingawa kwa muonekano wa nje wanaonekana ni wife materials.

sio wote ni baadhi ila wengi wao.Tafuta mwanamke crux kidogo utaenjoy..but be ready for the challenges!! done
 
Nilidhani umefanya utafiti mpana kumbe ume-refer kwa mama nyumbani.
 
Vip, Mama ametoka lini nyumbani kwao? hivi ulisema kwao ni Bagamoyo ama Tanga?

Curiosity...................
 
Good and congrats if what you're saying is not a bongo movie

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
km mimi vileee

uyu mke wangu kwao alishindikana,niliambiwa mengi saana juu yake mengine nilijionea.....alikua ni mkorofi hasa ila sio ukorofi wa kipuuzi una logic...sio mtu wa kupelekwa pelekwa au kufungiwafungiwa mahali.....

aliruka ukuta sana tu enzi zake!

nikagundua alikua anakaa na watu ambao hawajagundua her inside portential.Nikaweka ndani!!

walahi mtoto tumishibana...tuna miaka mi3 ya ndoa,ni mama,msimamizi,muwazi na ni mkali hasa pale inapotakiwa kufanya ivyo.....sio mtu wa kuburuzwa...i like her confidence!!

wanawake weengi ambao wamepoa sana huwa ni rahisi kuumizwa,kuburuzwa,hawana misimamo,mioyo yao inadundia kwenye mioyo ya wanaume,hawajiamini,sio marisk taker ingawa kwa muonekano wa nje wanaonekana ni wife materials.

sio wote ni baadhi ila wengi wao.Tafuta mwanamke crux kidogo utaenjoy..but be ready for the challenges!! done
 
nitakuletea zawadi ya kamba ya katani ili akianza kukurusha roho wakati uchumi umeyumba usipate tabu na equipment za kujitundika. good luck.

yakifika huko nitaanzisha thread husika....hihih
 
Na vitasa unachezea sometime ukirudi umepakia mchupa au???
 
akiamua kutulia anatulia anafanya yake,tena ni waaminifu sana kwenye mahusiano..ukimtibua atakupa live!!

wanaume wengi ukifuatilia huwa ving'ang'anizi sana kwa wanawake wa type hizi..wao ndio huwa wanapiga chini vidume...kamwe hawapigwi chini!!!! halo halo

hahha i like this.. na hata akipigwa chini atahakikisha kakurudisha anga zake af akubwage weweee
 
Back
Top Bottom