Wanawake watakubali wanaume watakataa

jiwe gizani

JF-Expert Member
May 25, 2021
380
506
Hapo vepe
Screenshot_20210709-094038_1.jpg
 
Tatizo ni kuwa una jinsia mbili na ndio maana unaliona hilo kwa mtazamo wako huo!
Sio kila asiyempa mwanamke hela ni kwakuwa hana hela ni swala la msimamo tu.
Msimamo bila kumhudumia mwanamke? Ni kweli kuna wanaume ukiwa naye usipoomba pesa anakuuliza unaishije bila mimi kukupa pesa? Salon umelipia nini, mafuta ya gari nan anakujazia hata km anajua unaweza! Mwanaume yeyote anayejua nafasi yake kwa mwanamke lazima awe proud kuhudumia!
 
Huyu jamaa naye ni zero kaisa yani kuuza nguo kaona kashatoka kimaisha sipati picha angekuwa na utajiri wa Mo ingekuwaje? Ndio role model huyu kweli tunaitaji ukombozi mwingine.
Yeye hajasema ana hela, au hajasema Biashara yake ndo inafanya kujua jukumu lake kaa mademu......kwa mwanaume yeyote mwenye anajua nafasi yake kwa mwanamke lazima awe proud kuhudumia bana hata kama kidogo
 
MSIMAMO BILA HELA?
Unaelewa kiswahili vizuri? Mtu kama Bill Gates anaendesha mgongo wa chura sio kwamba hana hela ya kununua Latest Rollce Royce Ghost ila ni misimamo yake tu kuwa he doesnt need that for now!

Nikisema sihongi hela zangu kwa malaya simaanishi uwezo sina wa kuhonga! Nahonga vizuri tu nikitaka. But sioni sababu mzee there plenty fish out there kama yupo mwanamke ambaye nikionesha interest after a week namla tena ananipa kwa wema kabisa bila kuuziana papuchi so why should i buy a pussy?
 
Yeye hajasema ana hela, au hajasema Biashara yake ndo inafanya kujua jukumu lake kaa mademu......kwa mwanaume yeyote mwenye anajua nafasi yake kwa mwanamke lazima awe proud kuhudumia bana hata kama kidogo
Tuliza mapepe wewe mbona hakuwai kuyasema haya kipindi analipwa mshahara laki saba tumia ubongo anachojaribu kuonyesha ni anauwezo wa kuonga then thats good foe him and whoever anayempatia thats being SIMP aka his a beta version of male end of story, alphas know what i mean.
 
Huyu jamaa inaonekana papuchi kazijulia ukubwani baada ya kupata hela ,ila kwa mtu kama Mimi nlieanza kuchakata papuchi tangu nipo kindergarten siwezi honga hela ovyo ovyo eti nionekane nampenda demu wangu,atapendwa na wazazi wake tu sio Mimi
 
Mi nadhani kwa karne hii mwanamke atasupport huyo jamaa ni mdangaji tu. Kwa mwanamke anayejitambua kutegemea kuomba hela sio ishu. Jamaa na sisi tunatamani kuhongwa na wanawake zetu
 
Vunja Bei anacheza tu na akili za dada zetu hapa bongo

We unadhani kwa akili yako anafanya hivyo la hasha. Huo n mtego tu wa kuwatomba zaidii dada zetu waingie kingi

NA WATANASA TUUU
 
Kuna ambao hawaombi chochote, usipojiongeza atakaa hivyo hivyo kimya...
 
Guys tunadiscuss picha na comments zenye maana mbili tofauti kabisa.

Nilitegemea picha ioneshe akimpa pesa huyo mpenzi wake, lakin picha inaonesha akiwa na whysky, (pengine ndio mpenzi wake)

Mwisho, nadhani jamaa alikuwa anataka kutuonesha kuwa anapesa ya kukodi luxury Marine boat ( Kifupi anauwezo wa kula bata sehemu yoyote, ie majini, nchi kavu na Angani)

All in all kwa umri wake bado anahaki ya kuandika vitu kama hivyo, ujana ukiisha ataacha.
 
Back
Top Bottom