Wanawake wastaarabu bado wapo

Nashukuru tena kwa mchango wako mkuu.
 
Jaman umenichekesha et unaweza kuomba Mungu akupe Mke shetani akajibu maombi yako
 
AHSANTE MKUU
waletea hiki kisa hapa ili tujifunze. Asanteni.
 
Mwanamke kama haujapiga chochote unachofanya hata kama ni kidogo kiasi gani ni faida kwake...Sasa we haujapiga af unasema ulipata mwanamke ukampoteza,unajuaje kama alikataa usipige ili kulinda siri kua ni chama la wana geti kubwa?
 
Hamna mkuu, the girl is decent. Wanawake nawajua sana hata kwa kuwatazama tu.

Huyu alikuwa ni exceptional case, anajielewa sana.
 
Kama ukupiga(mbususu) huyo alikua ni rafiki yako tu wa kike
 
Kumbe mungu ni kuwadi hadi anakubali kushirikishwa ishu xa mademu.
 
Shetani anakupa wake😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…