Wanawake wasomi hawajui kupoint Smart Spouse

shaurimbaya

JF-Expert Member
Oct 3, 2013
1,915
2,325
habari wadau..

nilikuwa napiga story na staffs wenzangu wanalalamika wanaume majembe ngumu kuwapata sana.. wengi wao nowdays mabishoo tu alteza nyingi.. ukienda geto linawaka waka kumbe mikopo tu.. siku mbili tatu anakupiga mzinga wewe binti nikacheka sana maneno yao..

ila nikawaza mbona watu wengi smart sana kwenye mambo ya kimaisha wanawake zao sio wasomi kama hawa wanaolalamika...

mdada mzuri na ameelimika anashindwa vipi kugundua hapa nimeingia choo cha kiume...

nasikitika sana dada yangu napoona anakimbizana na mabishoo tu kila anapopoint why asipoint wenye vision kama kina lugumi, home shopping centre sijui, na vijana wengine wenye akili za maisha kama raphael.. ambaye unaona kabisa hapa leo tunalala njaa ila next 10 yrs tutakuwa somewhere... au altezza hizo zina dawa
Inspirational story: Raphael Logistics, largest heavy lift company in Tanzania

kwa nini wanawake wengi smart huwa wanapoint lazy man kuwa spouse wake

why usipoint kina bakhressa watarajiwa wa miaka ijayo ukakikomboa kizaz chako kisipitie tabu ulizopitia wewe...
 
Hivi unauhakika gani wakina lugumi, au hao home shopping, na hao unaosema wanaakili ya maisha ni wanaume wema????

Ume base kwenye Mali kama kipimo sahihi cha wanaume wema.

Kesho utakuja kusema kwanini wanaume smart hawaoi wanawake smart

Unasahau kwamba pesa au smartness ya mwanaume ni sifa moja wapo kati ya sifa nyingnie nyingi za kuwa mume bora
 
unaelewa maana ya smart people??

A smart person is someone who can figure out almost any situation. It doesn't necessarily mean he has the required knowledge, but he's handy, so he can always solve whatever comes his way. source wikipedia

na oxford dictionary inasema hivi kuhusu smart person
Smart Person
Someone who is intelligent. Stereotyped to be obnoxious, geeky and have no sense of humor. That isn't true. There are two types of smart, Book Smart and Street Smart.
Stranger: Hey Kid, want a piece of candy?
Street Smart Person: Thanks, but no thanks.

Teacher: What is 63 times 99?
Book Smart Person: It is 6237.

Sasa lugumi na Huyo homshopping ni smart people??? Mwenyewe unajichanganya na kujikanyaga.....
Unafananisha smart people na wenye pesa......
 
yap ni smart people.. streetsmart ndio maana wameona weakness ilipo wakatengeneza hela.... huwez fananisha street smartness aliyonayo said mahonda mmiliki wa home shopping na watu wengine wengi tu...

kama asingekuwa smart angekuwa mtandaoni humu sasa hivi anabishana kama mimi na wewe tunavyobishana... tukafanye kazi tuache majungu..
na kupenda ubishi tu

Sasa kuwa kwao smart sio lazima wanawake wenye elimu ndio waolewe nao.....
Kuwa smart haimaanishi au haina ulazima nawewe uoe educated one...
 
We sumbai wewe............

Tatizo utamtafuta bakhressa wa baadae...ikishafika hiyo baadae ataenda kuota moto na mtu mwingine badala ya yule alotafuta nae kuni....

Mfano bwana machache...
 
tukafanye kazi tuache mabishano.. mbona unapenda sana ubishi... nchi ya viwanda hii fanya uzalishaji usipoteze muda kwenye ubishi. hauleti chakula ubishi...

Mkuu kazi yangu au kufanya kazi kwangu kunakuhusu Nini????

Umeshindwa kutetea ulichokileta hapa....

Unaanza kutoka povu....

Stick on topic please....
 
We sumbai wewe............

Tatizo utamtafuta bakhressa wa baadae...ikishafika hiyo baadae ataenda kuota moto na mtu mwingine badala ya yule alotafuta nae kuni....

Mfano bwana machache...
Nimekumis mpendwa...

Kwanini hujaolewa na smart people wakat wewe ni educated????
 
Back
Top Bottom