Wanawake wasomi hawajui kupoint Smart Spouse

Wanawake wasomi hawajui kupoint Smart Spouse

Ahaahah eti raphael logistics makuburi.....any way wanpenda ready made hawataki wenye akili ya maisha kama mimi ambaye in next 5 years ntakuwa na mafanikio sana
 
Acha wachezewe tu kwa kupenda mteremko kwenye maisha
 
wanawake wanapenda kumuona mtu anacho kila kitu. ndio maana wakiona mtu anaendesha gari wanachanganyikiwa hata kama kaazima.
na vijana ndio wanawalia humo humo. akimtamani demu anaazima gari siku mbili tatu anakula mzigo huyooo kasepa.
in short huwa hawajielewi nini wanataka
 
Back
Top Bottom