Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,771
- 5,266
Kwani kuzaa ni lazima???
Tumezoea kuwaona wakijinadi kwa mbwembwe, urembo na madaha kwenye majukwaa mbalimbali aka blogs, lakini ukiwaangalia utaona wengi wamepita umri na ungetegemea wangekuwa angalau na mtoto mmoja. Sitaji majina, lakini ni wazi wanajijua, haswa wale wa DMV area.
Kwa ujumla Wanawake wengi wanaoji-promote kwenye ma-blogs utaona kwa maringo wakibandika picha za kuvutia za nguo wanazovaa siku hadi siku na kujinadi kwa "model shapes" zao na jinsi walivyo "fashion conscious" and all that stuff, lakini utaona hawana watoto.
Najiuliza, Jee labda sababu ni kwamba wamegundua hawawezi kuzaa aka ni wagumba?

Kwa utamaduni wa kiafrika, you need to be gay au mmoja kati ya unfortunates wasiyoweza kuzaa kutokana na mapungufu fulani ya kibaiolojia.
Kwa hiyo utamaduni wa Kiafrica unaruhusu watu kuwa gay.
Anyway kuzaa au kuwa na familia ni chaguo la mtu.
Wakati Wanasayansi wanapromote tekinolojia ili kujikwamua na ugumu wa maisha majuha yako bize kuulizia dunia itaongezekaje bila kujua namna ya kuishi. Kila mtu anahitaji kuwa na familia mkuu bali angalia kwanza utaileaje. yaani bado wa zamani kihivyo
hii topic if full of nosenses!
vipi kuhusu matamshi ya raisi juu ya Sensa na ongezeko kubwa la watu kufikia 49.9milioni (2012) .utafiti wako ni wa aina gani.
Hmmm...wengine wameshusha sana injini hao.