Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Kwa waislam siyo lazima usali msikitini. Unasalia nyumbani. Kwa wakristo ni lazima wende kanisani ili ukachomolewe hela.Ogopa kuwa na rafiki mwanamke asiyeijua Biblia wala Quran. Ogopa sana mwanamke asiyejua mlango wa msikiti au kanisani!
Hao wana roho ngumu sana na hawaeleweki! Hawamwogopi mwanaume na hawana adabu.
Ni mabandidu sana!
najiulizaga sana ujueKwani kusali ni lazima uende msikitini au kanisani.?
Sasa wewe hujazunguka badoOgopa kuwa na rafiki mwanamke asiyeijua Biblia wala Quran. Ogopa sana mwanamke asiyejua mlango wa msikiti au kanisani!
Hao wana roho ngumu sana na hawaeleweki! Hawamwogopi mwanaume na hawana adabu.
Ni mabandidu sana!
Acha kujiuliza wahi kasalinajiulizaga sana ujue
Kweli upo sawa kabisa hujaongea uongo ubarikiwe .Ogopa sana mwanamke anayejifanya ameokoka analijua kanisa kuliko kitu chochote wana roho ngumu paka akasome[emoji57] [emoji57]
hahaaaaa aisee""kweli bangi sio chakulaKwa waislam siyo lazima usali msikitini. Unasalia nyumbani. Kwa wakristo ni lazima wende kanisani ili ukachomolewe hela.
kwahiyo waislamu hamtoi sadakaKwa waislam siyo lazima usali msikitini. Unasalia nyumbani. Kwa wakristo ni lazima wende kanisani ili ukachomolewe hela.
AminaKweli upo sawa kabisa hujaongea uongo ubarikiwe .
Kwani kuna Tofauti gani kati ya kusali home na kanisani?Acha kujiuliza wahi kasali
hahaa hajaongea uwongo kwakuwa amewatetea eehh ""!!?Kweli upo sawa kabisa hujaongea uongo ubarikiwe .
sijaijua vyema kuhusu utaratibu wa ibada za wa kristo ..ila moja ya tofauti iliyopo" nikwamba "utakosa fursa "yakujua mipango endelevu iliyopo ktika kanisa lenu "" ama dini yenu ""Kwani kuna Tofauti gani kati ya kusali home na kanisani?