Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,071
- 3,705
Mkuu hapo sikuungi mkono, wanawake wote hizi siku wanajifungua watoto wazuri sana si wa kike wala wa kiume, unaweza kukuta mwanamke ana sura kama ya ndugu yet aliyeoa juzi lakini akaja zaa kisu kimoja cha maana
Yap warembo wengi wanazaa pia watoto dizain kama walitakiwa kuwa KE ila wakatoka MET
Nimezumzia wanawake warembo wengi Wao, huwa wanazaa watoto wenye sura mbaya, nahisi wengi Wao wanazalishwa na wanaume wenye sura mbovu
We unamjua sia na Lili wa mtaani kwetu..?Ungeweka na mifano
Hapo vip!
Nimejaribu kuchunguza,nimeona wanawake warembo wanaongoza kuzaa watoto wenye sura mbovu,mbovu.
Hivi tatizo ni nini?
Ukiona hivo yule mwanamke ni mzuri hatari,ana genes nzuriMkuu hapo sikuungi mkono, wanawake wote hizi siku wanajifungua watoto wazuri sana si wa kike wala wa kiume, unaweza kukuta mwanamke ana sura kama ya ndugu yet aliyeoa juzi lakini akaja zaa kisu kimoja cha maana
Kuna tofauti ya urembo na uzuri!
Mwanamke mzuri lazima azae mtoto mzuri lakini mrembo atazaa mtoto anayefanana na mamake lakini baadae ndo atakuwa mrembo!
Ila wote watabaki kuwa watoto tuu na Muumbaji ni Mungu!
Uzuri wa kitu upo machoni mwa mtazamaji....kile kibaya kwake mwingine ni kizuri, halafu pia tutaulingia uzuri wakati kila mmoja wetu ataonja mauti na atarudi udongoni?Kuna tofauti ya urembo na uzuri!
Mwanamke mzuri lazima azae mtoto mzuri lakini mrembo atazaa mtoto anayefanana na mamake lakini baadae ndo atakuwa mrembo!
Ila wote watabaki kuwa watoto tuu na Muumbaji ni Mungu!
Kama ni hivyo mkengepiga marafuku mashindano ya miss, Mr. Na mashindano ya ubaya.Uzuri wa kitu upo machoni mwa mtazamaji....kile kibaya kwake mwingine ni kizuri, halafu pia tutaulingia uzuri wakati kila mmoja wetu ataonja mauti na atarudi udongoni?
Anything for love